Kuna kaukimya fulani kanatawala hapa nchini kwa watawala wa chama cha mapinduzi kujitenga kabisa na kile kinachotokea mahakama za kimataifa.
Magufuli nakubaliana naye kwamba alichokifanya yeye...
Waziiri wa mambo ya Ndani mh Masauni amesema Hivi karibuni pamezuka tabia ya Viongozi wa Dini kujiingiza Kwenye shughuli za Kisiasa Hii ni kinyume cha sheria
Masauni amewataka Viongozi wa Dini...
Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia?
Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Serikali imepanga kujenga viwanja viwili vya michezo nchini katika mkoa wa Arusha na Dodoma ili vitumike katika michuano...
"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless...
Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola.
Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu...
Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan...
Mpaka sasa ukiusoma mchezo unagundua suala la DP World ni la Chongolo na baadhi ya watu wake na sio dili la CCM kwa ujumla wake, mfano mdogo ni ziara ya Kinana tangu ameanza mikutano Rufiji...
Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
---
Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema
Kimsingi nikiliangalia...
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa DP World na kunukuliwa na Magazeti mbalimbali inaeleza kwamba Makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na DP World yaani IGA Hayana Kifungo...
Kwa nini wanatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye sheria?
Mtanzania kajibiwa;
Kwani walipomtuma Kitenge na Zembwela Dubai wale ni wana Sheria?
Au walipomtuma Msukuma class seven B aite...
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.
Ameongea mengi lakini...
Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari.
Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
Friends and Enemies.
Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye...
Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya...
Summary
📋 Tanzania expropriated the SMP gold project, a 12-year-long investment to explore and develop a gold mine, without offering prompt, adequate, and effective compensation, violating the...
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi...
Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo...
Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!
Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga...