Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 25 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimboni. Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Kanyigo na kugawa vitendea...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Kusema CCM inamuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere mimi binafsi napinga kauli hiyo kuwa sio kweli. CCM haina ubavu wa kumuenzi Mwl. Nyerere kwa vitendo, labda kwa maneno ya majukwaani. Hayati...
3 Reactions
1 Replies
733 Views
Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini. Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha. Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha. Zitto hajaiacha ACT mpaka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania! Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni...
26 Reactions
107 Replies
12K Views
Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu...
22 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions...
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia), Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika...
74 Reactions
273 Replies
28K Views
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema pamoja na Serikali kuwekeza tsh 1 trillion pale Bandarini bado performance imekuwa hairidhishi Tatizo kubwa ni Ukosesefu wa vifaa vya kisasa...
5 Reactions
93 Replies
7K Views
Habari zenu, Ingawa sikubaliana na hoja za utetezi za viongozi wa serikali na ccm yao kwamba huu SI mkataba Bali ni makubaliano. Ni ujuha kusubiria embe chini ya mkorosho, Hawa wapuuzi wanaamini...
2 Reactions
2 Replies
575 Views
Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
"... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi...
1 Reactions
2 Replies
489 Views
Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali. Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya bajeti na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 22, 2023 amesema ya kwamba wapo waliobeza filamu ya...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Mbunge wa Jimbo la Uzini Mheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO amewasisitiza Viongozi wa Chama na Serikali kushuka chini na kusikiliza kero na Changamoto za Wananchi kwani waliwachagua kwa Imani na Mapenzi...
0 Reactions
3 Replies
604 Views
Jakaya Kikwete kama Rais mbeba maono aliye hai kwa Sasa hapa Tanzania paso na shaka alionao Nyota ya Uongozi Kwa Rais Samia Toka 2001 na akampendekeza kuwa VP na Sasa ni Rais. My Take...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya...
0 Reactions
2 Replies
672 Views
Kuna jambo ambalo yamkini watanzania wengi hawaelewi au wanapaswa kueleweshwa zaidi kuhusu maendeleo ya Tanzania na CCM, ikumbukwe tunapozungumzia maendeleo ya Tanzania siku zote hatuwezi iacha...
1 Reactions
6 Replies
941 Views
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kwa nafasi aliyopewa, Mwenyezi Mungu amempa mtihani si haba. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 16, 2023 katika Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika...
22 Reactions
145 Replies
16K Views
Habari wanabodi, Tunaohangaika na ukomo wa mkataba wa DP World tusizunguke sana kwani hawa jamaa wa Dubai walishamfuata Hayati Magufuli na mapendekezo yao lakini Meko akawatolea nje. Baadaye...
13 Reactions
23 Replies
3K Views
Updates kesi ya bandari. Majaji wanaingia muda huu saa 14:45 Kalani anataja namba ya kesi. KESI YA KIKATIBA NA.5/2023 Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote. MAWAKILI...
19 Reactions
26 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…