Ni bahati mbaya sana kwamba tunaongozwa na wanasiasa

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,274
2,648
Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo.
Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana.

Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni halichukui mtu wa hovyo kuongoza alimradi tu eti anaweza kupiga kabobo.

Nchi, Taifa, Taasisi nyeti kabisa ulimwenguni, ilikuwaje wakaaminiwa wanasiasa kuiongoza??

Wanasiasa hawa, watu waongo waongo wasio faa kuaminiwa kwa lolote kweli ndo wakapewa mamlaka ya kuongoza Nchi? Tena kuanzia Ngazi ya Juu kabisa hadi ya chini kabisa?

We fikiria, hadi kupewa kuongoza wilaya, hamna screening yoyote mtu anafanyiwa, almradi tu ni kada mtiifu wa chama tawala.

Walau wenzetu wazungu wamefaulu angalau kuweka mifumo ya kiuongozi, ila sisi waafrika Nchi zilizo nyingi hadi sasa bado hata hazijajua zilipata uhuru ili iweje. Ikiwemo Nchi yangu Tanzania. Yaani tunajiendea tu kwa kudra.

Mimi nadhani halikuwa/si wazo jema sana kuiacha nchi mikononi mwa wanasiasa. Wanasiasa wetu, hasa walioko juu hawana skills za kuikomboa Nchi kwa namna yoyote ile. Wanachojua ni kupiga kabobo tu. Kudanganya, wakiona fursa wajineemeshe wao. Wengine mtajijua.

Ilifaa viongozi wa Taifa waandaliwe kwa mfumo maalumu. Mfumo makini hata huu unaotumika kuwapata TISS ukasome. Yaani Mtu anafuatiliwa tangu aikiwa chekechea huko. Akionesha kuwa smart na karama ya Uongozi anaingizwa kwenye mfumo wa kiuongozi bila ye kujua, mfumo unamkuza katika maadili na mienendo ya kizalendo kiasi kwamba Taifa litakapo mhitaji, tukamkabidhi mamlaka kila mmoja anajua tuko katika mikono salama.

Badala yake tunaendekeza wanasiasa. System ambayo watu smart wanatemwa automatically. Yaani kuongoza nchi inapaswa ujitoe ufahamu kwanza. Ndo matokeo yake Wizara nyeti kama ya Technologia unampa mtu incopetent. Tukiuliza why, huyu ni mwanasiasa machachari.

Bahati mbaya zaidi wakisha kalia viti vya madaraka wao ndo wanajiona wako smart kuliko mtu yeyote chini yao. Hawashauriki.
 
Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo.
Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana. Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni halichukui mtu wa hovyo kuongoza alimradi tu eti anaweza kupiga kabobo.

Asant kwa andiko zur ndg yang. Ukweli ni kwamba siasa na mfumo demokrasia kwenye nch zinazoendelea ni UTAPELI mtupu sawa na ule utapeli wa makanisa ya UNABII.
 
Nchi gani duniani ambayo haiongozwi na wanasiasa ?
 
Back
Top Bottom