Watu wa kubebwa wapelekwe Wizara za Ngonjera, sio kwenye Wizara Mama!

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,566
41,085
Bila ya kuzungukazunguka, kuna mawaziri, kama vile January, Ridhiwani na Nape, wapo kwenye nafasi walizopo, siyo kwa sababu ya uwezo wa ku-deliver results, bali kwa sababu tu ya majina ya wazazi wao ambao wanaonekana ndio wamiliki wa CCM.

CCM ni dhahiri inamilikiwa na watu wachache, hawa ndio wameifanya kuwa mali yao. Wengine wanasogezwa kwenye nafasi fulani kama waalikwa.

Magufuli alitaka auondoe umiliki wa CCM kutoka kwa hawa wamiliki wapya wa CCM (CCM ya kale, ya Mwalimu Nyerere ilimilikiwa na watu wote), lakini bahati mbaya kabla hajalifanikisha hilo, akaondoka Duniani.

Kwa sababu ya huu umiliki wa CCM wa baadhi ya familia, ndiyo maana tunaona watoto wao wakati wote, hata wasipokuwa na uwezo, lazima wawe wabunge, lazima wawe mawaziri. Kuwapa watoto wa familia hizi madaraka makubwa kwa sababu tu wazazi wao ni familia zinazoimiliki CCM, bila ya kuangalia uwezo wao, tunashuhudia mateso kwa wananchi na kuzorota kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Taifa.

Mfano mzuri ni kitendo cha January kupewa Wizara mama ya kiuchumi, wizara ya nishati. Makamba hajawahi kuonesha uwezo wowote wa kiutendaji wa kipekee mahali popote kiasi cha kustahili kupewa Wizara ya Nishati, wizara inayoamua maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Alichokifanya huko, kila mtu anajua.

USHAURI
Kwa kuwa inaonekana hizi familia zinazomiliki CCM, Watanzania wote wameshindwa kuzitikisa, basi tuziombe familia hizi angalao ziwe na huruma kwa wananchi. Hawa watoto wao wasio na uwezo, wawe wanawapa Wizara za Ngonjera (wizara za kupiga porojo), kama vile Wizara ya utamaduni na michezo, Wizara ya Wanawake na Watoto; na Wizara ya Habari. Yaani wizara zile ambazo hata wakiboronga hakuna athari kubwa kwa nchi na wananchi.

Au vinginevyo, Wizara zote zishikwe na watu wenye uwezo, na hizi familia zinazomiliki CCM, wao wenyewe na watoto wao walipwe mishahara bila ya kufanya kazi, kama walivyoamua kwa wake zao (wakwe wa marais na marais wastaafu, hizi familia zimeamua walipwe mishahara kwa kuwa wake wa marais, maisha yao yote).

UKWELI
Lazima tuufahamu ukweli kuwa sasa hivi nchi hii ni kama imekuwa mali ya familia fulani, na wengine wote wamekuwa kama waalikwa. Hawa ndio wanaamua nani apewe pesa hata bila ya kazi yoyote, nani apewe nafasi gani na nani kamwe asipewe nafasi yoyote hata kama ana uwezo mkubwa kiasi gani. Hali hii imesababisha wale watu wenye uwezo mdogo wa kuyategemeza maisha yao, kuishia kuwa machawa wa hizi familia, maana kwa kufanya hivyo wanaweza nao kupewa mwaliko, japo kamwe hawawezi kupewa umiliki.

UMEME
Waziri Biteko, huko alikopelekwa, afahamu kuwa aliyekuwepo hapo, alikuwepo kwaajili ya maslahi. Na TANESCO nzima na taasisi zote za nishati kama EWURA, palikuwa ni mahali pa kuwaneemesha wanafamilia, ndugu na marafiki. Kama anataka mabadiliko, awaondoe hao wote waliopelekwa hapo kwaajili ya maslahi ya wanafamilia ba watu wao wa karibu, awatafute watu wa kwenda kufanya kazi. La sivyo, asuburie anguko kubwa. Waliopo watahakikisha hapati matokeo yofauti na yaliyokuwepo ili ionekane tatizo halikuwa kwa Waziri. Awaondoshe wafanya maamuzi wote, awabakize watendaji tu.
 
Very true
 
Mi nashauri mabadiliko yajayo barazani, Wizara ya Mambo ya Nje ape J.Heche
 
Mleta mada, hizo familia hakuna haki wanayo stahili zaidi ya assassination, sio kwamba nchi imeshindwa ni suala la muda tuu.

Yani haya majamaa, unafanya assassination kizazi chao chote mpaka mmnyama wa kufuga katika malango yao.
 
Point

Tuna watu wazuri sana kwenye nchi hii, lakini wanapigwa vita sana na wapumbavu walioshika makali
Hata mimi naaminj kuwa hatujakosa watu wazuri bali hatutaki kuwapa nafasi.

Watanzania wanaoenda kufanya kazi nje ya Tanzania, wakati wote wameonekana ni watendaji wazuri, kwa nini ishindikane kuwapata watu wazuri wa kuifanyia kazi jamii yao?
 
UKWELI
Lazima tuufahamu ukweli kuwa sasa hivi nchi hii ni kama imekuwa mali ya familia fulani, na wengine wote wamekuwa kama waalikwa. Hawa ndio wanaamua nani apewe pesa hata bila ya kazi yoyote, nani apewe nafasi gani na nani kamwe asipewe nafasi yoyote hata kama ana uwezo mkubwa kiasi gani. Hali hii imesababisha wale watu wenye uwezo mdogo wa kuyategemeza maisha yao, kuishia kuwa machawa wa hizi familia, maana kwa kufanya hivyo wanaweza nao kupewa mwaliko, japo kamwe hawawezi kupewa umiliki.
Pessimists mumeanza kumkatisha tamaa hata hajaanza kazi vizuri. Si musubiri kidogo basi?
 
Kwa sasa Tanzania tunapaswa kumpata kiongozi kama emperor Meiji wa Japan,aliwashughulikia wa wahafidhina ambao hawa kutaka mabadiliko katika taifa kwa kuhofia kupoteza ushawishi wao katika siasa,jamii na uchumi
 
Matendo yao ndiyo yanayokatisha tamaa umma wa wana nchi.

Fikiria, sasa hivi wameamua mpaka wake wa marais wote walipwe mishahara maisha yao yote kwa sababu wanawatandikia au walikuwa wanawatandikia vitanda Marais. Baadaye nadhani wataamua watoto wote wa Marais walipwe nao mishahara. Za rushwa na ufisadikupitia majina ya waume za baba zao hazijawatosha, sasa wanataka na za kutoka hazina moja kwa moja.
 
Kwa sasa Tanzania tunapaswa kumpata kiongozi kama emperor Meiji wa Japan,aliwashughulikia wa wahafidhina ambao hawa kutaka mabadiliko katika taifa kwa kuhofia kupoteza ushawishi wao katika siasa,jamii na uchumi
Siku atakapopatikana kiongozi wa namna hiyo, ndipo angalao mwanga wa kuiwezesha nchi iende wapi, utakapoonekana. Kwa sasa nchi ipo kwenye giza nene. Lazima apatikane wa kuukata huu mnyororo wa utawala usio na tija.
 
Bila ya kuzungukazunguka, kuna mawaziri, kama vile January, Ridhiwani na Nape, wapo kwenye nafasi walizopo, siyo kwa sababu ya uwezo wa ku-deliver results, bali kwa sababu tu ya majina ya wazazi wao ambao wanaonekana ndio wamiliki wa CCM.

CCM ni dhahiri inamilikiwa na watu wachache, hawa ndio wameifanya kuwa mali yao. Wengine wanasogezwa kwenye nafasi fulani kama waalikwa.

Magufuli alitaka auondoe umiliki wa CCM kutoka kwa hawa wamiliki wapya wa CCM (CCM ya kale, ya Mwalimu Nyerere ilimilikiwa na watu wote), lakini bahati mbaya kabla hajalifanikisha hilo, akaondoka Duniani.

Kwa sababu ya huu umiliki wa CCM wa baadhi ya familia, ndiyo maana tunaona watoto wao wakati wote, hata wasipokuwa na uwezo, lazima wawe wabunge, lazima wawe mawaziri. Kuwapa watoto wa familia hizi madaraka makubwa kwa sababu tu wazazi wao ni familia zinazoimiliki CCM, bila ya kuangalia uwezo wao, tunashuhudia mateso kwa wananchi na kuzorota kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Taifa.

Mfano mzuri ni kitendo cha January kupewa Wizara mama ya kiuchumi, wizara ya nishati. Makamba hajawahi kuonesha uwezo wowote wa kiutendaji wa kipekee mahali popote kiasi cha kustahili kupewa Wizara ya Nishati, wizara inayoamua maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Alichokifanya huko, kila mtu anajua.

USHAURI
Kwa kuwa inaonekana hizi familia zinazomiliki CCM, Watanzania wote wameshindwa kuzitikisa, basi tuziombe familia hizi angalao ziwe na huruma kwa wananchi. Hawa watoto wao wasio na uwezo, wawe wanawapa Wizara za Ngonjera (wizara za kupiga porojo), kama vile Wizara ya utamaduni na michezo, Wizara ya Wanawake na Watoto; na Wizara ya Habari. Yaani wizara zile ambazo hata wakiboronga hakuna athari kubwa kwa nchi na wananchi.

Au vinginevyo, Wizara zote zishikwe na watu wenye uwezo, na hizi familia zinazomiliki CCM, wao wenyewe na watoto wao walipwe mishahara bila ya kufanya kazi, kama walivyoamua kwa wake zao (wakwe wa marais na marais wastaafu, hizi familia zimeamua walipwe mishahara kwa kuwa wake wa marais, maisha yao yote).

UKWELI
Lazima tuufahamu ukweli kuwa sasa hivi nchi hii ni kama imekuwa mali ya familia fulani, na wengine wote wamekuwa kama waalikwa. Hawa ndio wanaamua nani apewe pesa hata bila ya kazi yoyote, nani apewe nafasi gani na nani kamwe asipewe nafasi yoyote hata kama ana uwezo mkubwa kiasi gani. Hali hii imesababisha wale watu wenye uwezo mdogo wa kuyategemeza maisha yao, kuishia kuwa machawa wa hizi familia, maana kwa kufanya hivyo wanaweza nao kupewa mwaliko, japo kamwe hawawezi kupewa umiliki.

UMEME
Waziri Biteko, huko alikopelekwa, afahamu kuwa aliyekuwepo hapo, alikuwepo kwaajili ya maslahi. Na TANESCO nzima na taasisi zote za nishati kama EWURA, palikuwa ni mahali pa kuwaneemesha wanafamilia, ndugu na marafiki. Kama anataka mabadiliko, awaondoe hao wote waliopelekwa hapo kwaajili ya maslahi ya wanafamilia ba watu wao wa karibu, awatafute watu wa kwenda kufanya kazi. La sivyo, asuburie anguko kubwa. Waliopo watahakikisha hapati matokeo yofauti na yaliyokuwepo ili ionekane tatizo halikuwa kwa Waziri. Awaondoshe wafanya maamuzi wote, awabakize watendaji tu.
MBEBANO NI SERA YA CCM NDIO MAANA TEUA TENGUA HAMISHA HAZIISHI
 
Mzee wangu Bams umeandika ukweli mtupu ukweli mchungu ukweli usiotaka kuelezwa Ila ujumbe umfikie 'Dotto Biteko' popote alipo
 
Back
Top Bottom