Tanganyikanism tukutane hapa

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
479
1,253
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu

Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"

Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka

Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar

Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
 
Aisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!

Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
Hatuvunji Muungano bali tunataka historia na utamaduni wetu usipotee kama ilivyo Zanzibar
 
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu

Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na Tanzania Bara wakati wenzetu wa Zanzibar walivyoona jina "Tanzania visiwani" linaua Zanzibar wamesusa siku hizi ni "Zanzibar au Tanzania Zanzibar"

Tangayika yetu sasa imemezwa na Tanzania, wenzetu wana uraia mara mbili yaani wanajiita wazanzibar na Watanzania kwa nini sisi hatuitwi Watanganyika, kwa nini Tanganyika yetu inakufa, historia yetu ya Utanganyika inakufa tunacheka

Tunataka tusiitwe Tanzania Bara bali Tanzania Tanganyika ,mbona Wazanzibar walishakataa kuitwa Tanzania visiwani na sasa wanaitwa Tanzania Zanzibar

Ongeza mambo mengine yanayoua Tanganyika huku Zanzibar ikiinuliwa
CCM.
 
ajira za watanganyika zimepokonywa, biashara zao hazifai tena unguja, utamaduni wa mtanganyika umefichwa ama kufifishwa... i wapi furaha yetu? i wapi ardhi ya mababu zetu? liko wapi jina letu zuri tanganyika? uko wapi utambulisho wetu? uko wapi undungu wetu? zi wapi siri zetu? nalia mimi nalilia jina na asili ya nchi yangu.
 
Back
Top Bottom