Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hutakaa umsikie mtu kama Pascal Mayalla akiwasemea Wasukuma wenzake ambao ndio ndugu zake wa damu wanaoangamia kwa umasikini mkubwa sana unaosababishwa na sera za Kipuuzi za CCM. Mikoa ile hasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo. Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au...
14 Reactions
114 Replies
7K Views
Baada ya sakata la Bandari kuisha na uongo kuanza kujitenga na ukweli, hali kwa sasa ni shwari kabisa na wananchi wanafanya Maendeleo bila kelele na propaganda zozote. Maswali tunayojiuliza kwa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa...
13 Reactions
72 Replies
4K Views
JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda. Sasa tuna Rais mwanamama...
38 Reactions
176 Replies
16K Views
Kwa nini linaonekana ni jambo jema sana la kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma lakini hatumuenzi kwa kubadilisha katiba yetu kutokana na maneno yake aliyosema...
7 Reactions
171 Replies
11K Views
Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa...
28 Reactions
147 Replies
12K Views
Lugja ya picha ya mheshimiwa huyu sijailewa hata kidogo wataalam wa lugha hizi ebu naomba mnifafanulie au anamaanisha waliopinga mkataba wa bandari sasa wameanza kutiwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini. Lakini...
29 Reactions
282 Replies
22K Views
Natoa tu angalizo kwa Viongozi wa Chadema hiyo tabia ya kumtajataja Shujaa Magufuli ili kuficha Unafiki wenu muiache mara moja Pambaneni na hali zenu tafadhali Kuna Wajinga wanamuhusisha Shujaa...
2 Reactions
18 Replies
706 Views
Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania. Wamekuwa wakipigania haki bila kujali...
4 Reactions
1 Replies
914 Views
Mpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba 1.Kumuomba mungu aamue . 2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeangalia maelezo ya Meneja wa TANROAD mkoa -DSM ndugu Haruon Senkuku alipohojiwa na muandishi wa habari kuhusu malalamiko ya wakazi wa maeneo ya Mbezi-Msumi wanaolalamia TANROAD kutokuijenga...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Tathimini ya uharifibwa mazao
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Jana tarehe 12/08/2023 ulifanyika chaguzi wa ndani (kura za maoni) ndani ya Chama Cha mpinduzi. Katika uchaguzi huo wagombea au watia nia walikuwa 25 na Mheshimiwa Bahati Ndingo ameibuka kidedea...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea . Kwa kuanzia kipindi hicho...
25 Reactions
139 Replies
11K Views
Kitendo cha viongozi wa mapinduzi nchini Niger kuungwa mkono na wananchi ni ishara tosha kuwa viongozi wa kiafrika wanatakiwa kujitathmini kama nafasi zao zinawatumikia wananchi au laa. Na muhimu...
2 Reactions
3 Replies
802 Views
Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga. Kaeni uhamishomi...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Jibuni HOJA zao. Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba. Waachieni Manabii wetu tafadhali.
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…