Bahati Ndigo ashinda kura za maoni

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
806
2,182
Jana tarehe 12/08/2023 ulifanyika chaguzi wa ndani (kura za maoni) ndani ya Chama Cha mpinduzi.

Katika uchaguzi huo wagombea au watia nia walikuwa 25 na Mheshimiwa Bahati Ndingo ameibuka kidedea kwa kupata zaidi ya 50% ya kura zote.

Kwa jina na mazingira aliyojitengenezea ni dhahili kuwa mbunge wa mbarali ni mheshimiwa Bahati Ndingo na hiyo tarehe 19/09/2023 itakuwa ni kuidhinishwa kwake tu.

MATOKEO YA KURA ZA MAONI KWA WAGOMBEA UBUNGE (WATIA NIA) JIMBO LA MBARALI KATIKA UCHAGUZI ULIOFANYIKA LEO TAR 12/08/2023.
1)Hashim Mgandilwa- Kura 45
2)Christopher Uhagile- Kura 42
3)Baraka Chaula- Kura 08
4)Leonard Mubali- Kura 15
5)Maggid Mjengwa-Kura 54
6)Laurencia Nyeshile- Kura 03
7)Burton kihaka- Kura 08
8)Leonadi Kitalima- Kura 15
9)Willy Migodela-Kura 03
10)Paulo Kitta- Kura 05
11)Abubakary Chomba- Kura 01
12)Mwasada Salum- Kura 04
13)Daud Msasi- Kura 01
14)Fortunatus Mjengwa- Kura Kura 54
15)Bahati Ndingo- Kura 578
16)Nicholaus Semu- Kura 02
17)Ibrahim Mwakabwanga- Kura 204
18)David Kiumba- Kura Kura 01
19)Sinza Godigodi- Kura 02
20)Ayoub Sanga- Kura 06
21)Hanji Godigodi- Kura 01
22)Kabelege Said- Kura 03
23)Geodfrey Mwangulubi- kura 02
24)Selah Msigwa- kura 01
25)Mary Mbwilo-Kura 39.
 
Jana tarehe 12/08/2023 ulifanyika chaguzi wa ndani (kura za maoni) ndani ya Chama Cha mpinduzi.

Katika uchaguzi huo wagombea au watia nia walikuwa 25 na Mheshimiwa Bahati Ndingo ameibuka kidedea kwa kupata zaidi ya 50% ya kura zote.

Kwa jina na mazingira aliyojitengenezea ni dhahili kuwa mbunge wa mbarali ni mheshimiwa Bahati Ndingo na hiyo tarehe 19/09/2023 itakuwa ni kuidhinishwa kwake tu.
Sawa mbona ilikuwa inajulikana maana ni wakati wenu
 
CCM wakileta mtaani demokrasia walionayo ndani ya Chama chao basi itakuwa vyema sana kwa taifa, watu 25 ni wengi aiseee,

Sema vyama vya upinzani jina tu linaletwa hujui wametumia mbinu gani kupata wagombea
 
Back
Top Bottom