Naipenda Solidarity ya CHADEMA kupigania haki; Wanampigania Dr. Slaa bila kujali itikadi yake

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania.

Wamekuwa wakipigania haki bila kujali itikadi; wamewapigania akina Nape na Kinana wakati wa Magu. Hizi solidarity uwezi kuzipata CCM. Kinachoendelea CCM ni kiu ya madaraka tu; ukikwama kama mwana CCM wanachoangalia nani atakuwa mrithi wako......

Taifa linalojengwa kwenye imani ya Chadema ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu ni taifa la haki......
 
JamiiForums442997317_236x211.jpg
 
Back
Top Bottom