Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,575
2,000
JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.

Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.

Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.

Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.

Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
 
Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,559
2,000
Jk aliwashtua watu wakati alipoonyesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia dodoma. Awamu yake ya urais swala la kuhamia dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika urais inaonekana kama tumerudi dar kwani kila kitu yuko hapa dar. Amehutubia wazee wa dar juzi, amepokea hati za mabalozi dar juzi jumatano anaapisha wakuu wa mikoa dar. Mwenda zake shughuli dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema dodoma ndio mji mkuu.
Tunamuomba mama samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama magufuli. Wananchi walimpigia kura magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Mkome kumsonga songa Mama Samia
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,298

Ngoja uje ushughulikiwe humu...utaitwa Sukuma Gang
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,241
2,000
Wacha hizo mtoa hoja,wakati mwendazake kila kitu kilikua kinafanyika Chato hukuja humu kulalamika,President Samia ameonyesha ni mfuataji wa sheria but let's guy's be careful tusije onekana tuna take advantage kwa upole wake au jinsia yake,respect uamuzi wake ambao always hakurupuki kuufanya,so far so good na hatujashuhudia maamuzi ya kihasira au ya kuto apply mind kabla hujaamua.Kudos kwake
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
56,215
2,000
Jk aliwashtua watu wakati alipoonyesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia dodoma. Awamu yake ya urais swala la kuhamia dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika urais inaonekana kama tumerudi dar kwani kila kitu yuko hapa dar. Amehutubia wazee wa dar juzi, amepokea hati za mabalozi dar juzi jumatano anaapisha wakuu wa mikoa dar. Mwenda zake shughuli dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema dodoma ndio mji mkuu.
Tunamuomba mama samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama magufuli. Wananchi walimpigia kura magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Viongozi walipoapishwa chato hukuona ehh

Ova
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom