Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata...
47 Reactions
284 Replies
25K Views
Ameandika Baba Askofu Stephen Munga MKATABA WA BANDARI UMETUSAIDIA KUJUANA ZAIDI "Na hivi ndivyo tunavyoweza kutambua wazi kati ya walio watoto wa Mungu na walio watoto wa shetani. Mtu ye yote...
32 Reactions
42 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta...
15 Reactions
168 Replies
7K Views
Wakati wa Awamu ya 5, watu wengi tulipiga kelele dhidi ya Rais Magufuli kwa sababu ya kugandamiza uhuru wa watu na demokrasia lakini Hayati Magufuli, hakuwahi kupora rasilimali za nchi kumgawia...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko...
59 Reactions
341 Replies
21K Views
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni muhimu CHADEMA itoe tamko kuhusiana na uharamia unaofanywa na Serikali ya mtawala huyu wa sasa. Haiwezekani jambazi aliyekudhulumu na kutesa wanafamilia wako, kisha akaomba msamaha na kusema...
6 Reactions
6 Replies
857 Views
Naomba kujua historia ya huyu bwana mdogo kwa anayeijua. Anajiamini na ana misimamo mikali kama muasisi wa CHADEMA hayati Tuntemeke Sanga. Hata Sugu kabla hajachakachuliwa alikuwa na misimamo...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hutakaa umsikie mtu kama Pascal Mayalla akiwasemea Wasukuma wenzake ambao ndio ndugu zake wa damu wanaoangamia kwa umasikini mkubwa sana unaosababishwa na sera za Kipuuzi za CCM. Mikoa ile hasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo. Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au...
14 Reactions
114 Replies
7K Views
Baada ya sakata la Bandari kuisha na uongo kuanza kujitenga na ukweli, hali kwa sasa ni shwari kabisa na wananchi wanafanya Maendeleo bila kelele na propaganda zozote. Maswali tunayojiuliza kwa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa...
13 Reactions
72 Replies
4K Views
JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda. Sasa tuna Rais mwanamama...
38 Reactions
176 Replies
16K Views
Kwa nini linaonekana ni jambo jema sana la kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma lakini hatumuenzi kwa kubadilisha katiba yetu kutokana na maneno yake aliyosema...
7 Reactions
171 Replies
11K Views
Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa...
28 Reactions
147 Replies
12K Views
Lugja ya picha ya mheshimiwa huyu sijailewa hata kidogo wataalam wa lugha hizi ebu naomba mnifafanulie au anamaanisha waliopinga mkataba wa bandari sasa wameanza kutiwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini. Lakini...
29 Reactions
282 Replies
22K Views
Natoa tu angalizo kwa Viongozi wa Chadema hiyo tabia ya kumtajataja Shujaa Magufuli ili kuficha Unafiki wenu muiache mara moja Pambaneni na hali zenu tafadhali Kuna Wajinga wanamuhusisha Shujaa...
2 Reactions
18 Replies
706 Views
Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania. Wamekuwa wakipigania haki bila kujali...
4 Reactions
1 Replies
914 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…