Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mikataba mingi tang zaman imekua na makandokando mengi na ufisadi wa kutisha!! Swali langu ni... Kwann wahusika wanaingia mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa na waisainisha? Mpaka bungeni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Baraza la maaskofu wa katoliki (TEC) ni kikundi cha wahuni na wanasiasa na wanaharakati waliojificha kwenye kivuki cha kanisa. Nimesoma zaidi ya mara tano malengo ya kuanzishwa kwa TEC mbali na...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Hii nchi kuna Watu wamepinda kweli kweli πŸ˜€ Mtu anasema kituo cha Polisi ni Sawa na Sebuleni Kwake na Gerezani ndio Chumbani kabisa Mungu wa mbinguni Uturehemu! Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Makala hii kuhusu Masheikh na Maaskofu imeandikwa na Mzee Mwanakijiji inatia moyo kuonyesha angalau mwana JF mmoja amejitokeza waziwazi kwa kuwakosoa Viongozi wetu wa dini 2 kubwa hapa nchini...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na...
23 Reactions
135 Replies
15K Views
Wakati wa kupitisha Sheria mbili za Ulinzi wa Rasilimali za nchini bungeni mwaka 2017 Mbunge wa Arusha Mjini mh Lema alisema Wabunge Wawe waangalifu wasitunge sheria kwa kuangalia Uzalendo na...
2 Reactions
2 Replies
711 Views
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina...
0 Reactions
3 Replies
592 Views
Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu. Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
50 Reactions
206 Replies
18K Views
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mamlaka ya RAIS ni makubwa lakini mamlaka ya Watanzania ni makubwa zaidi - sasa kuna mambo kadhaa ikiyaangalia inakuwa kama kila upande unatunisha msuli / msuri. (a). Suala la katiba mpya -...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam, mwandishi na mwanasheria pascal mayalla aliwahi kuandika makala 'je bunge letu linajipendekeza'? Hii ilikua mwaka jana 2018. Baada ya makala hii kama kawaida mh spika job ndugai alifoka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Baaada ya kutafakali kwa umakini mkataba huu wa bandari, kuna maswali ya kufikilisha nimeyapata. Kama ikiwa Bunge lisingepitisha, mkakataba niwazi kua mkataba usinge ingiwa, Sasa kama ndivyo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Dkt. Slaa amesema yeye alikamatwa kwa kutumia kifungu 39 (1) ambacho hakina Dhamana Lakini yeye yuko nje kwa Dhamana Dkt. Slaa amesema labda anayeweza kutolea ufafanuzi wa kisheria ni Wakili wake...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama Siasa inajitegemea mbona Viongozi wa kisiasa hawaapishwi kwa kutumia Katiba Pekee bali huapa mbele ya Biblia au Qur'an kuilinda Katiba Mbona Viongozi wa kisiasa kila siku huomba Viongozi wa...
0 Reactions
2 Replies
430 Views
Mbunge mstaafu wa Vunjo amehoji Vijana wa taifa hili wako wapi kulinda rasilimali? Amesema kuna haja ya kuanzisha mitaala ya kuwasaidia Vijana ili wajitambue na kuwa wazalendo kwa nchi yao
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Baada ya BBT sasa ni kila zamu ya wakulima wadogo. Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata mkumbo wa ngonjera, pambio na misamiati ya miaka nenda rudi kuhusu kilimo, sasa inatenda kwa vitendo...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Injinia ya Uchumi ni sekta binafsi. Hongera Serikali kama Wawekezaji wa reli za Sgr wamejitokeza Wapeni wajenge haraka. -- π”π‰π„ππ™πˆ 𝐖𝐀 π‘π„π‹πˆ πŒπ“π–π€π‘π€ Katika kurahisisha shughuli za usafirishaji...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Muda mchache baada ya Wakili wa Dk. Slaa Dickson Matata kutoa taarifa kuhusu mteja wake kupewa dhamana, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amesema kuwa...
10 Reactions
89 Replies
10K Views
Friends and Enemies... Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia. Sheikh...
28 Reactions
74 Replies
10K Views
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amefanya mahojiano na BBC na kujibu maswali mbalimbali aliyoulizwa Prof Mkumbo amesema Watu Waliokamatwa Hivi karibuni Wana makosa yao huko Polisi...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…