johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,138
Wakati wa kupitisha Sheria mbili za Ulinzi wa Rasilimali za nchini bungeni mwaka 2017 Mbunge wa Arusha Mjini mh Lema alisema Wabunge Wawe waangalifu wasitunge sheria kwa kuangalia Uzalendo na umalaika wa aliyepo
Lema akasisitiza sheria Hizo mbili zinampa Madaraka makubwa Rais wa JMT kwenye Usimamizi wa Rasilimali na anaweza kuja Rais Mwingine hata kutokea Chadema akaitumia Kuuza Nchi
Bunge la sasa lililosheheni Wabunge wengi waliotunga sheria Hiyo sasa limeamua kukifanyia marekebisho
Wayahudi waliomshangilia Yesu na kumwimbia Hosanna siku ya Mitende ndio hao hao waliomshutumu kwa kuimba " asulubiwe asulubiwe" siku ya Ijumaa Kuu
Nawatakia Sabato njema 😀