Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo makubwa ya kitaifa huku wakiwakejeli wasomi wabobevu kama isa shivji.
Kwa haya tuliyaona basi wabunge wasiishie la saba angalau minimum qualifications iwe form six ili kuweza kuendana na ulimwengu huu wa sasa uliojaa changamoto kibao.
 
Tulia na usomi wake wote anatoa pumba mpaka unashangaa! Ukichunguza kidogo unagundua anatetea tumbo lake!
 
Zile Kkk zifutwe kama kigezo cha kuwa mbunge......tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom