Ebu tuacheni upumbavu. Hivi sisi ngozi nyeusi tuna shida gani ya kiasili tulionayo.
Hawa waliotuletea hizi dini ndio hawa hawa walitufanya watumwa na kulazimishwa kufata dini zao.
Ndio hawa hawa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania...
Huwezi kuongoza watu kama wanyama huku wakiwa na akili timamu wanaona yanayoendelea ni vizuri uangalie ulipojikwaa kuliko kushupaza shingo! Raisi asidanganywe na chawa wake wanamharibia inatakiwa...
Kanisa la KKKT linategemea kuifanyia marekebisho kadhaa Katiba yake ikiwemo Kuanzisha Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu
Aidha Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa...
Huwa najaribu kujiuliza, hawa wenzetu wameumbwaje? Sijawahi kupata jibu. Akili zao zinafanya kazi vipi, huwezi kuelewa.
Mkataba wa DP WORLD ni mbovu, na unatunyonga sisi wenyewe. Tunapiga kelele...
Asalam,
1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM
2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa.
3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM
4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga...
Moja kwa moja kwenye mada.
Tunao utamaduni wa kupokezana,akitoka Rais Mwislaam ,anaingia Rais Mkristo,lakini huyo Mkristo lazima atoke Kanisa Katoliki.
Sasa alipoingia Magufuli kanisa liliona...
Lilikuwa tukio la kushangaza, mwenyekiti wa CCM na Katibu wa parokia yetu leo aliitwa na padri mbele ya waumini na kumkabidhi waraka wa TEC kupinga mkataba unaohalalisha bandari kupewa mwarabu...
Toka kwa baba Askofu Almachius Vincent Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga
Media zote Tanzania hajaripoti Waraka wa TEC isipokuwa ni mitadao ya kijamii pekee na JamiiForums pekee ndio...
Eti, mbona lile walisema wee lakini bado tulifanya yetu na hakuna kilichotokea? Achana nao, kwa maana kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
Halafu, mbona Magu alipokuwa anamua lake hakuna...
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Dkt. Charles Kitima akiongea na BBC amesema Baba Mtakatifu ambaye ndio mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francisco amewataka kupokea ushauri wa...
Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa...
Wakati wa utawala wa Magufuli madhehebu ya dini ya Kikristo yalipoona uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, kupotea kwa watu uliokuwa ukifanywa na serikali, hayakukaa kimya yalitoa...
Hivi karibuni kanisa kubwa kabisa nchini la Katoliki limeonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza unaofanywa na viongozi mbalimbali wa awamu hii, fungua kwenye link hii.
WARAKA...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Duniani Dr Gwajima PhD ni Mbunge wa jimbo la Kawe CCM
Sheikh Majini yeye aligombea kule Handeni Tanga lakini alifeli...
Nikiwa Mtanzania wa kawaida mwenye uelewa wa baadhi ya mambo nilipata nafasi ya kuusoma mkata huu.Ni kweli kuna mazuri yaliyolegwa kupatikana kwenye huu mkataba hasa ufanisi na ukusanyaji mapato...
ACHENI KUCHEZA KARATA YA UDINI - HOJA IJIBIWE KWA HOJA
Suala la mjadala wa mkataba tata wa bandari sio mchezo wa kamari. Hapo hatufanyi majaribio katika kuhoji na kujibu hoja. Pia hapo...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imelishukia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania kutokana na kuwepo ongezeko kubwa la maombi ya misamaha ya kodi.
TRA imeiandikia Barua Bakwata baada ya kubaini kuwa...