The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,527
- 16,812
Nikiwa Mtanzania wa kawaida mwenye uelewa wa baadhi ya mambo nilipata nafasi ya kuusoma mkata huu.Ni kweli kuna mazuri yaliyolegwa kupatikana kwenye huu mkataba hasa ufanisi na ukusanyaji mapato na kupanua wigo wa huduma ukizingatia geigraphical possition ya Tanzania bara kuwa na bandari ambazo zinaweza hudumia nchi za jirani.
Mapungufu yapo lakini yamezidi faida zitakazo patikana. Wasomi mbalimbali walijitokeza kuukosoa na hatimae ukapelekwa bungeni. Bunge lilitoa taarifa na kuomba maoni japo kwa mtazamo wangu niliona ni mudamfupi sana ukizingatia muda wa taarifa na mwisho wa kupokea maoni.
Siku ya Bunge kujadili mkataba huu ikawadia na kwa namna ya maoni ya wabunge mkataba ulipitishwa kwa kuungwa mkono na wabunge wengi.
Bunge kupitisha mkataba huu inaonekana ni kikwazo kikubwa kuurekebisha.
Nini kilipelekea Bunge kupitisha mkataba huu ambao Unaonekana unapingwa kila sehemu.
Karibuni kwa maoni.