Najiuliza tu kwanini wakati wa Shujaa Magufuli watu hawakurudisha Kadi za CCM japokuwa kulikuwa na mapungufu pia serikalini?
Au walikuwa wanamuogopa tu, maana badala ya kurudisha kadi wafuasi wa...
Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo.
Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia...
WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama...
Kwema Wakuu!
Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu.
Hakuna...
Kumekuwepo na maneno ya hapa na pale kutoka Kwa wananchi wakijiuliza maswali mengi kuhusu mkataba wa DP world kwamba baada ya rais kustafu je nae ataandika kitabu Cha historia yake na kujutia...
Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina...
Nadhani sote rumesikia kuwa Bunge limemwalika nabii GeoDavie akafanye maombi maalum Bungeni. Hatujaambiwa sababu ya kufanya hivyo. Lakini hili linatokea:
1) Baada ya Bunge kubariki mkataba wa...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma'
Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza...
Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu...
Ndugu zangu Watanzania,
Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Wakati baba wa taifa Mwalimu Nyerere anawasha Mwenge na kuupandisha Mlima Kilimanjaro Lengo lilikuwa kutuunganisha Watanzania
Lakini leo Mwenge unamilikiwa...
Kuna trend imezuka ya Chadema Kwa makusudi kuamua kuwapotosha Wananchi wasio na uelewa kwamba Uwekezaji ni wizi,kugawa rasilimali za Nchi au kuuza Nchi.
Tabia hii ni mbaya sana kwenye ulimwengu...
Hawa wanaweza kuwa ndio wale wafadhili wa Royol tour ambao tulifichwa , sasa wanapewa mapande ya aridhi, na wana binasifisha, fikiria Mzungu ana binasifisha Aridhi ya Umma.
======
Tanzania ni...
Lembeli aibukia jukwaa la Chadema, Kahama, akerwa na rushwa serikalini.
AKIHUTUBIA maelfu ya wananchi katika mikutano sita aliyoifanya leo kwenye jimbo la Ushetu na Kahama, mkoani Shinyanga...
Baada ya kupokea maoni mbalimbali ya wananchi na wadau kwa sasa serikali inachofanya ni kuandaa nyaraka mbalimbali za makubaliano na mikataba kama ilivyoshauriwa na kwa kuzingatia maslahi mapana...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi katika Mikoa yao.
Dkt. Tax...
Mwendo wa kimyaaa kimya huku wakingoja watu wasahau tukisha sahau tutaiona bendera ya waarabu inapepea pale bandarini kimya kimya na hakuna hata gazeti litalo andika! tukianza kelele mwarabu...
Aisee, hivi inakuwaje muwekezaji mmoja tuu anafanya mpaka tubadili sheria za nchi ambazo zilitungwa kwa umakini mkubwa? Hii sheria ya maliasili ni mpya kabisa ya mwaka 2017 tuu hapo, ni kwa nini...
Rais Samia amesema Viongozi wa Serikali wajitahidi kutatua migogoro ya Ardhi kwa Wakati Kwani kuna migogoro mingi
Rais amesema Vita vingi duniani kwa sasa husababishwa na kugombea Ardhi na huko...
Hadi sasa sijaielewa kama Bunge bado ni Moja walio katika Umoja wa pamoja au wako makundi makundi
Bunge lamualika Nabii Mkuu GeoDavie Kufanya Maombi bungeni na barua ya mwaliko ilikabidhiwa kwa...