Rais Samia: Vita kubwa duniani husababishwa na Ardhi au kugombea Maji hata sisi tulimpiga Idd Amin kwa kuvamia Ardhi yetu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Rais Samia amesema Viongozi wa Serikali wajitahidi kutatua migogoro ya Ardhi kwa Wakati Kwani kuna migogoro mingi

Rais amesema Vita vingi duniani kwa sasa husababishwa na kugombea Ardhi na huko tunakoelekea Kugombea Maji kutaleta Vita pia

Sisi tulimpiga Idd Amin kwa sababu ya kuvamia Ardhi yetu, amesisitiza

Source TBC

Nawatakia Dominica njema 🌟
 
Back
Top Bottom