Vijana waahidi kumpigia Kampeni Dkt. Tulia nyumba kwa nyumba Uchaguzi ujao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia mhusika kwa njia Tofauti Tofauti,wema una desturi ya kurudi ulipotoka.

Sasa kwa Jimbo la Mbeya mjini wema umeanza kumtafuta Daktari na Nguli wa sheria Mh Tulia Acksoni mwansasu, unamtafuta kila kona ya jiji la Mbeya,Unatembea kwa magoti na kutambaa kumtafuta popote alipo ili umpate,Una haha kila mahali ,kila kijiwe,kila kilinge na kila kijiwe. Dkt Tulia amekuwa ni gumzo kwa namna anavyotafutwa na wema wake alioutenda kwa maelfu ya vijana mkoani Mbeya katika kutaka kumrudia na kumlipa wema wake alioutoa kwa upendo na huruma ya hali ya juu kwa vijana mkoani Mbeya pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Vijana katika vijiwe mbalimbali na maeneo mbalimbali mkoani Mbeya wamejiapiza kumpigania ,kumkapenia na kumuombea kura Nyumba kwa nyumba katika jimbo la Mbeya mjini uchaguzi ujao.Hii ni baada ya kutendewa wema na Dr Tulia,kama vile kuwasaidia mitaji vijana iliyowasaidia kuanzisha na kufungua biashara zilizowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato na kuanza kujitegemea na kuinuka kiuchumi,kuwa saidia na kuwapa bure pikipiki pamoja na bajaji ambazo sasa zinawasaidia katika kujipatia fedha kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa jiji la Mbeya ni Eneo lenye abiria wengi sana kila kona ya jiji kunakotokana na kuchangiwa na uwepo wa shule na vyuo mbalimbali na vya ngazi Tofauti Tofauti.

Huruma na upendo huo wa Dr Tulia katika kuwainua kiuchumi umewagusa sana vijana,kwa kuwa umewaletea matumaini,Tabasamu,furaha ,nuru na faraja katika mioyo na maisha yao.wanamuona Dkt Tulia kama mkombozi wao kiuchumi. Hawapo Tayari kumsaliti au kumuangusha uchaguzi ujao,wapo Tayari kutembea nyumba kwa nyumba kwa miguu katika adhima ya kumuombea kura za ushindi ili arejee Bungeni na kuendelea kuwasaidia na kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yao.

Wanamuona kama Dada yao wa Tumbo moja kutoka kwa mama mmoja kwa namna anavyo wasaidia bila kikomo wala ubaguzi wala masharti wala mipaka. Moyo wa Dr Tulia ni wa kipekee sana kwa kuwa Anamsaidia na amesaidia vijana wengi sana mkoani Mbeya ambao sasa Wanatamka waziwazi bila kificho kuwa hawapo Tayari kupoteza kura zao kwa kumpigia mwingine yoyote nje ya Dr Tulia ambaye Ndiye chaguo la wana Mbeya wote.

Ni funzo kwa wabunge wengine kuwa ukitaka ukumbukwe,kukubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na wapiga kura wako basi jitahidi kuacha alama katika mioyo ya wananchi wako,uwe karibu nao, kusikiliza kero zao na kuwapa majibu, kuwa mwenye huruma,upendo na unyenyekevu kwa watu wote wa rika zote na makundi yote pasipo ubaguzi, kutambua kuwa wapiga kura ndio waliokufikisha hapo ulipo Bungeni na ndio maboss wako unaopaswa kuwasikiliza na kuwatumikia. Lakini pia kuzungumza lugha za wapiga kura au wananchi wako juu ya changamoto mbalimbali zinazowasumbua na kuzitafutia majibu sehemu husika.

Siyo mtu anachaguliwa ubunge leo anaanza kujiona ana akili kuliko wananchi wote,anaanza kuwaona wapiga kura kama Takataka wasio faa hata kumsalimia kwa mikono,muda wote amepandisha vioo vya Gari lake huku akikimbia utafikiri yupo kwenye mashindano ya magari na hata kuonekana tu jimboni ni kwa nadra sana,Hasikilizi la mtu wala kushauliwa na mtu ,Hakai na wananchi wake wala kusikiliza wanasema nini juu ya jimbo lao. lakini dkt Tulia licha ya elimu yake kubwa wadhifa wake mkubwa ndani ya Bunge na ndani ya chama bado ameonekana muda mwingi na wote akiwa pamoja na wapiga kura wake kipindi chote ambapo vikao vya Bunge vinakuwa vimesimama.

Sasa kiongozi wa aina hiyo ya dkt Tulia kwanini asiungwe mkono? Kwanini asipendwe jimboni kwake? Kwanini asipitee tena uchaguzi ujao? Kwanini asipigiwe kura za kishindoo? Sasa mwingine siyo waziri wala naibu waziri wala spika wa bunge au naibu spika au mwenyekiti wa kamati yoyote ile lakini anajifanya yupo Bize muda wote na yupo nje ya jimbo muda wote Haitishi mikutano kuwapa mrejesho na kusikiliza changamoto zao wala kuwa nao karibu .sasa wa hivi nani anaweza muunga mkono au kumpigia kura? Nani anayeweza kumpigania au kumtetea popote pale? Nani anayeweza kutamani mtu wa aina hiyo arudi Bungeni Tena uchaguzi ujao?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Suala la dpw limempunguzia imani kwa wapiga kura si kidogo,bado ana muda autumie vema,asiwasikilize sana ninyi chawa,mtampoteza.
Wana Mbeya na watanzania wana imani kubwa sana na Dr Tulia na wanaamini kutokana na ujuzi wake na uzoefu wake katika masuala ya kisheria atasaidia sana katika masuala ya kisheria bungeni, hususani linapokuja suala la miswaada ya kisheria. Ndio maana katika hili la uwekezaji amewatoa hofu watanzania juu ya uwekezaji wa Bandarini.

Nguli huyu wa Sheria hawezi akaona sheria mbaya na yenye athari kwetu watanzania na Taifa kwa ujumla halafu akakaa kimya na kuacha mswaada upite mezani pake pasipo kuweka neno.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia mhusika kwa njia Tofauti Tofauti,wema una desturi ya kurudi ulipotoka.

Sasa kwa Jimbo la Mbeya mjini wema umeanza kumtafuta Daktari na Nguli wa sheria Mh Tulia Acksoni mwansasu, unamtafuta kila kona ya jiji la Mbeya,Unatembea kwa magoti na kutambaa kumtafuta popote alipo ili umpate,Una haha kila mahali ,kila kijiwe,kila kilinge na kila kijiwe. Dkt Tulia amekuwa ni gumzo kwa namna anavyotafutwa na wema wake alioutenda kwa maelfu ya vijana mkoani Mbeya katika kutaka kumrudia na kumlipa wema wake alioutoa kwa upendo na huruma ya hali ya juu kwa vijana mkoani Mbeya pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Vijana katika vijiwe mbalimbali na maeneo mbalimbali mkoani Mbeya wamejiapiza kumpigania ,kumkapenia na kumuombea kura Nyumba kwa nyumba katika jimbo la Mbeya mjini uchaguzi ujao.Hii ni baada ya kutendewa wema na Dr Tulia,kama vile kuwasaidia mitaji vijana iliyowasaidia kuanzisha na kufungua biashara zilizowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato na kuanza kujitegemea na kuinuka kiuchumi,kuwa saidia na kuwapa bure pikipiki pamoja na bajaji ambazo sasa zinawasaidia katika kujipatia fedha kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa jiji la Mbeya ni Eneo lenye abiria wengi sana kila kona ya jiji kunakotokana na kuchangiwa na uwepo wa shule na vyuo mbalimbali na vya ngazi Tofauti Tofauti.

Huruma na upendo huo wa Dr Tulia katika kuwainua kiuchumi umewagusa sana vijana,kwa kuwa umewaletea matumaini,Tabasamu,furaha ,nuru na faraja katika mioyo na maisha yao.wanamuona Dkt Tulia kama mkombozi wao kiuchumi. Hawapo Tayari kumsaliti au kumuangusha uchaguzi ujao,wapo Tayari kutembea nyumba kwa nyumba kwa miguu katika adhima ya kumuombea kura za ushindi ili arejee Bungeni na kuendelea kuwasaidia na kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yao.

Wanamuona kama Dada yao wa Tumbo moja kutoka kwa mama mmoja kwa namna anavyo wasaidia bila kikomo wala ubaguzi wala masharti wala mipaka. Moyo wa Dr Tulia ni wa kipekee sana kwa kuwa Anamsaidia na amesaidia vijana wengi sana mkoani Mbeya ambao sasa Wanatamka waziwazi bila kificho kuwa hawapo Tayari kupoteza kura zao kwa kumpigia mwingine yoyote nje ya Dr Tulia ambaye Ndiye chaguo la wana Mbeya wote.

Ni funzo kwa wabunge wengine kuwa ukitaka ukumbukwe,kukubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na wapiga kura wako basi jitahidi kuacha alama katika mioyo ya wananchi wako,uwe karibu nao, kusikiliza kero zao na kuwapa majibu, kuwa mwenye huruma,upendo na unyenyekevu kwa watu wote wa rika zote na makundi yote pasipo ubaguzi, kutambua kuwa wapiga kura ndio waliokufikisha hapo ulipo Bungeni na ndio maboss wako unaopaswa kuwasikiliza na kuwatumikia. Lakini pia kuzungumza lugha za wapiga kura au wananchi wako juu ya changamoto mbalimbali zinazowasumbua na kuzitafutia majibu sehemu husika.

Siyo mtu anachaguliwa ubunge leo anaanza kujiona ana akili kuliko wananchi wote,anaanza kuwaona wapiga kura kama Takataka wasio faa hata kumsalimia kwa mikono,muda wote amepandisha vioo vya Gari lake huku akikimbia utafikiri yupo kwenye mashindano ya magari na hata kuonekana tu jimboni ni kwa nadra sana,Hasikilizi la mtu wala kushauliwa na mtu ,Hakai na wananchi wake wala kusikiliza wanasema nini juu ya jimbo lao. lakini dkt Tulia licha ya elimu yake kubwa wadhifa wake mkubwa ndani ya Bunge na ndani ya chama bado ameonekana muda mwingi na wote akiwa pamoja na wapiga kura wake kipindi chote ambapo vikao vya Bunge vinakuwa vimesimama.

Sasa kiongozi wa aina hiyo ya dkt Tulia kwanini asiungwe mkono? Kwanini asipendwe jimboni kwake? Kwanini asipitee tena uchaguzi ujao? Kwanini asipigiwe kura za kishindoo? Sasa mwingine siyo waziri wala naibu waziri wala spika wa bunge au naibu spika au mwenyekiti wa kamati yoyote ile lakini anajifanya yupo Bize muda wote na yupo nje ya jimbo muda wote ,Haitishi mikutano kuwapa mrejesho na kusikiliza changamoto zao wala kuwa nao karibu .sasa wa hivi nani anaweza muunga mkono au kumpigia kura? Nani anayeweza kumpigania au kumtetea popote pale? Nani anayeweza kutamani mtu wa aina hiyo arudi Bungeni Tena uchaguzi ujao?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wewe Msengerema wanasemaje hapo Sengerema ngosha??
 
Kampeni itakayoweza kumnadi,niya sahani kwa sahani na sio hiyo ya nyumba🤔
 
Kijana punguza uchawa kwa viongozi wanafiki na wabinafsi kama Tulia , hata kama ni shida za maisha zimekusonga unatakiwa upambane wewe ni mtoto wa kiume lakini siyo kushabikia viongozi waliojaa dhuruma na hata kama wanakulipa hizo fedha hazina baraka kwa Mungu wako (unapokea ujira kwa watu wasiotenda haki kwenye taifa lao) utaendelea kupiga mark time na hamna cha maana utakachofanya.
 
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani,lakini pia napenda kukwambia yakuwa dkt Tulia ni mzalendo aliyetukuka na mwenye mapenzi ya dhati na Taifa letu. Ndio maana leo Dunia kupitia umoja wa mabunge Duniani unataka ufaidike na kipaji chake alichojaliwa na Mwenyezi Mungu, kwa kutaka kumpatia Urais wa Umoja wa mabunge Duniani,ambapo mpaka sasa anaungwa mkono kutoka kila kona ya Bara la Afrika.

Kupitia Dkt Tulia maelfu ya vijana,akina mama pamoja wazee wamewezeshwa sana.Mfano vijana wamekuwa wakipewa mitaji kupitia vikundi vyao nahata kijana mmoja mmoja ,kama vile kupewa pikipiki pamoja na bajaji zinazowasaidia katika kujipatia fedha za kuendeshea maisha yao ya kila siku.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia mhusika kwa njia Tofauti Tofauti,wema una desturi ya kurudi ulipotoka.

Sasa kwa Jimbo la Mbeya mjini wema umeanza kumtafuta Daktari na Nguli wa sheria Mh Tulia Acksoni mwansasu, unamtafuta kila kona ya jiji la Mbeya,Unatembea kwa magoti na kutambaa kumtafuta popote alipo ili umpate,Una haha kila mahali ,kila kijiwe,kila kilinge na kila kijiwe. Dkt Tulia amekuwa ni gumzo kwa namna anavyotafutwa na wema wake alioutenda kwa maelfu ya vijana mkoani Mbeya katika kutaka kumrudia na kumlipa wema wake alioutoa kwa upendo na huruma ya hali ya juu kwa vijana mkoani Mbeya pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Vijana katika vijiwe mbalimbali na maeneo mbalimbali mkoani Mbeya wamejiapiza kumpigania ,kumkapenia na kumuombea kura Nyumba kwa nyumba katika jimbo la Mbeya mjini uchaguzi ujao.Hii ni baada ya kutendewa wema na Dr Tulia,kama vile kuwasaidia mitaji vijana iliyowasaidia kuanzisha na kufungua biashara zilizowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato na kuanza kujitegemea na kuinuka kiuchumi,kuwa saidia na kuwapa bure pikipiki pamoja na bajaji ambazo sasa zinawasaidia katika kujipatia fedha kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa jiji la Mbeya ni Eneo lenye abiria wengi sana kila kona ya jiji kunakotokana na kuchangiwa na uwepo wa shule na vyuo mbalimbali na vya ngazi Tofauti Tofauti.

Huruma na upendo huo wa Dr Tulia katika kuwainua kiuchumi umewagusa sana vijana,kwa kuwa umewaletea matumaini,Tabasamu,furaha ,nuru na faraja katika mioyo na maisha yao.wanamuona Dkt Tulia kama mkombozi wao kiuchumi. Hawapo Tayari kumsaliti au kumuangusha uchaguzi ujao,wapo Tayari kutembea nyumba kwa nyumba kwa miguu katika adhima ya kumuombea kura za ushindi ili arejee Bungeni na kuendelea kuwasaidia na kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yao.

Wanamuona kama Dada yao wa Tumbo moja kutoka kwa mama mmoja kwa namna anavyo wasaidia bila kikomo wala ubaguzi wala masharti wala mipaka. Moyo wa Dr Tulia ni wa kipekee sana kwa kuwa Anamsaidia na amesaidia vijana wengi sana mkoani Mbeya ambao sasa Wanatamka waziwazi bila kificho kuwa hawapo Tayari kupoteza kura zao kwa kumpigia mwingine yoyote nje ya Dr Tulia ambaye Ndiye chaguo la wana Mbeya wote.

Ni funzo kwa wabunge wengine kuwa ukitaka ukumbukwe,kukubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na wapiga kura wako basi jitahidi kuacha alama katika mioyo ya wananchi wako,uwe karibu nao, kusikiliza kero zao na kuwapa majibu, kuwa mwenye huruma,upendo na unyenyekevu kwa watu wote wa rika zote na makundi yote pasipo ubaguzi, kutambua kuwa wapiga kura ndio waliokufikisha hapo ulipo Bungeni na ndio maboss wako unaopaswa kuwasikiliza na kuwatumikia. Lakini pia kuzungumza lugha za wapiga kura au wananchi wako juu ya changamoto mbalimbali zinazowasumbua na kuzitafutia majibu sehemu husika.

Siyo mtu anachaguliwa ubunge leo anaanza kujiona ana akili kuliko wananchi wote,anaanza kuwaona wapiga kura kama Takataka wasio faa hata kumsalimia kwa mikono,muda wote amepandisha vioo vya Gari lake huku akikimbia utafikiri yupo kwenye mashindano ya magari na hata kuonekana tu jimboni ni kwa nadra sana,Hasikilizi la mtu wala kushauliwa na mtu ,Hakai na wananchi wake wala kusikiliza wanasema nini juu ya jimbo lao. lakini dkt Tulia licha ya elimu yake kubwa wadhifa wake mkubwa ndani ya Bunge na ndani ya chama bado ameonekana muda mwingi na wote akiwa pamoja na wapiga kura wake kipindi chote ambapo vikao vya Bunge vinakuwa vimesimama.

Sasa kiongozi wa aina hiyo ya dkt Tulia kwanini asiungwe mkono? Kwanini asipendwe jimboni kwake? Kwanini asipitee tena uchaguzi ujao? Kwanini asipigiwe kura za kishindoo? Sasa mwingine siyo waziri wala naibu waziri wala spika wa bunge au naibu spika au mwenyekiti wa kamati yoyote ile lakini anajifanya yupo Bize muda wote na yupo nje ya jimbo muda wote ,Haitishi mikutano kuwapa mrejesho na kusikiliza changamoto zao wala kuwa nao karibu .sasa wa hivi nani anaweza muunga mkono au kumpigia kura? Nani anayeweza kumpigania au kumtetea popote pale? Nani anayeweza kutamani mtu wa aina hiyo arudi Bungeni Tena uchaguzi ujao?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ukisikia mtu kupigiwa kampen banga kwa banga jua mtu huyo yupo kweny wakati mgum na hali ni tete, halaf mweny jimbo hana waswas anapiga zake misele 🤣🤣🤣
 
Wewe!
Lucas mwashambwa mshahara wako karibu utaupata....

Sio kwa kiherehere hiki....

Watu kama wewe ndio janga kuu la taifa hili.
Hoja hujibiwa kwa hoja ndugu yangu.acha roho za chuki na visasi. Mungu aliye juu na aliye Hai hawezi akakuacha salama utese watu wake wasio na Hatia .Hakuna muovu aliye wahi kudumu katika Dunia hii. Hata wewe ikiwa unawaza mabaya juu yangu Tambua ya kuwa hutadumu milele katika ulimwengu huu hata kama utafanikiwa kunidhuru lakini mwisho wa Siku nawe pia Pua Yako imetazama Chini Tuu na Huko ni njia ya wote.

Kwa hiyo usinitishe wala tusitishane,.kama huna hoja basi kaa kimya,kama unaona namsifia sana mtu basi wewe mkosoe kwa hoja uwezavyo lakini siyo habari za kuleteana vitisho kana kwamba wewe utaishi milele.

Utaumiza na kutesa wangapi katika Taifa letu? Wewe utaishi milele? Utaziba midomo na vinywa vya wangapi? Je wewe utazungumza milele? Utawalaza wangapi chini? Je wewe utasimama milele? Sawa una weza fanikiwa adhima yako .je wewe utashinda vita yako milele?
 
Ukisikia mtu kupigiwa kampen banga kwa banga jua mtu wa huyo yupo kweny wakati mgum na hali ni tete, halaf mweny jimbo hana waswas anapiga zake misele 🤣🤣🤣
Dkt Tulia ndio Fahari ya wana Mbeya na kila mwana Mbeya anajivunia kuongozwa na Dkt Tulia na uwepo wake mkoani Mbeya ,maana kupitia mikono yake wengi wamepata matumaini na Tabasamu katika mioyo yao . Ni kupitia misaada yake wengi wametimiza na kufikia ndoto zao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia mhusika kwa njia Tofauti Tofauti,wema una desturi ya kurudi ulipotoka.

Sasa kwa Jimbo la Mbeya mjini wema umeanza kumtafuta Daktari na Nguli wa sheria Mh Tulia Acksoni mwansasu, unamtafuta kila kona ya jiji la Mbeya,Unatembea kwa magoti na kutambaa kumtafuta popote alipo ili umpate,Una haha kila mahali ,kila kijiwe,kila kilinge na kila kijiwe. Dkt Tulia amekuwa ni gumzo kwa namna anavyotafutwa na wema wake alioutenda kwa maelfu ya vijana mkoani Mbeya katika kutaka kumrudia na kumlipa wema wake alioutoa kwa upendo na huruma ya hali ya juu kwa vijana mkoani Mbeya pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Vijana katika vijiwe mbalimbali na maeneo mbalimbali mkoani Mbeya wamejiapiza kumpigania ,kumkapenia na kumuombea kura Nyumba kwa nyumba katika jimbo la Mbeya mjini uchaguzi ujao.Hii ni baada ya kutendewa wema na Dr Tulia,kama vile kuwasaidia mitaji vijana iliyowasaidia kuanzisha na kufungua biashara zilizowasaidia kuondokana na utegemezi wa kipato na kuanza kujitegemea na kuinuka kiuchumi,kuwa saidia na kuwapa bure pikipiki pamoja na bajaji ambazo sasa zinawasaidia katika kujipatia fedha kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu,hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa jiji la Mbeya ni Eneo lenye abiria wengi sana kila kona ya jiji kunakotokana na kuchangiwa na uwepo wa shule na vyuo mbalimbali na vya ngazi Tofauti Tofauti.

Huruma na upendo huo wa Dr Tulia katika kuwainua kiuchumi umewagusa sana vijana,kwa kuwa umewaletea matumaini,Tabasamu,furaha ,nuru na faraja katika mioyo na maisha yao.wanamuona Dkt Tulia kama mkombozi wao kiuchumi. Hawapo Tayari kumsaliti au kumuangusha uchaguzi ujao,wapo Tayari kutembea nyumba kwa nyumba kwa miguu katika adhima ya kumuombea kura za ushindi ili arejee Bungeni na kuendelea kuwasaidia na kuwaletea maendeleo na kugusa maisha yao.

Wanamuona kama Dada yao wa Tumbo moja kutoka kwa mama mmoja kwa namna anavyo wasaidia bila kikomo wala ubaguzi wala masharti wala mipaka. Moyo wa Dr Tulia ni wa kipekee sana kwa kuwa Anamsaidia na amesaidia vijana wengi sana mkoani Mbeya ambao sasa Wanatamka waziwazi bila kificho kuwa hawapo Tayari kupoteza kura zao kwa kumpigia mwingine yoyote nje ya Dr Tulia ambaye Ndiye chaguo la wana Mbeya wote.

Ni funzo kwa wabunge wengine kuwa ukitaka ukumbukwe,kukubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na wapiga kura wako basi jitahidi kuacha alama katika mioyo ya wananchi wako,uwe karibu nao, kusikiliza kero zao na kuwapa majibu, kuwa mwenye huruma,upendo na unyenyekevu kwa watu wote wa rika zote na makundi yote pasipo ubaguzi, kutambua kuwa wapiga kura ndio waliokufikisha hapo ulipo Bungeni na ndio maboss wako unaopaswa kuwasikiliza na kuwatumikia. Lakini pia kuzungumza lugha za wapiga kura au wananchi wako juu ya changamoto mbalimbali zinazowasumbua na kuzitafutia majibu sehemu husika.

Siyo mtu anachaguliwa ubunge leo anaanza kujiona ana akili kuliko wananchi wote,anaanza kuwaona wapiga kura kama Takataka wasio faa hata kumsalimia kwa mikono,muda wote amepandisha vioo vya Gari lake huku akikimbia utafikiri yupo kwenye mashindano ya magari na hata kuonekana tu jimboni ni kwa nadra sana,Hasikilizi la mtu wala kushauliwa na mtu ,Hakai na wananchi wake wala kusikiliza wanasema nini juu ya jimbo lao. lakini dkt Tulia licha ya elimu yake kubwa wadhifa wake mkubwa ndani ya Bunge na ndani ya chama bado ameonekana muda mwingi na wote akiwa pamoja na wapiga kura wake kipindi chote ambapo vikao vya Bunge vinakuwa vimesimama.

Sasa kiongozi wa aina hiyo ya dkt Tulia kwanini asiungwe mkono? Kwanini asipendwe jimboni kwake? Kwanini asipitee tena uchaguzi ujao? Kwanini asipigiwe kura za kishindoo? Sasa mwingine siyo waziri wala naibu waziri wala spika wa bunge au naibu spika au mwenyekiti wa kamati yoyote ile lakini anajifanya yupo Bize muda wote na yupo nje ya jimbo muda wote Haitishi mikutano kuwapa mrejesho na kusikiliza changamoto zao wala kuwa nao karibu .sasa wa hivi nani anaweza muunga mkono au kumpigia kura? Nani anayeweza kumpigania au kumtetea popote pale? Nani anayeweza kutamani mtu wa aina hiyo arudi Bungeni Tena uchaguzi ujao?

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Huu ni uchawa mavi iwe chikala kabhie kati ulichipubha?
 
Nani anaitwa dk tulia simjui , halafu mtoa mada ,swali zuri dogo hiyo simu nikujiunga kwenye group la wtsupp kuongea kuhusu kumsaidia ashinde.

1. Kakupa maendeleo yafuatayo.
Kajenga kwenu
Kakusomeshea ndugu zako na watoto wako.
Anakulisha,anakupa pumzi? Amekufanyia nini hadi nawe ujione hivi. Nothing kuwa chawa wa Mungu,msifu mungu , mjali Mungu,sifa upazo nwanadamu mwenzio ungempa yeye. Mungu. Sio wewe lijianaume kazi porojo kwanza umesali leo,ukashukuru au ni ujinga tu unaketa hapa. Yeye akipata kura anakuwacha ila Mungu hakuachi kamwe ujue hilo
 
Back
Top Bottom