Je baada ya rais kustafu ataandika kitabu Cha kujutia kusaini mkataba wa DP Dunia?

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
491
763
Kumekuwepo na maneno ya hapa na pale kutoka Kwa wananchi wakijiuliza maswali mengi kuhusu mkataba wa DP world kwamba baada ya rais kustafu je nae ataandika kitabu Cha historia yake na kujutia kusaini mkataba huo? Licha ya tahadhari zote kutolewa juu ya mkataba unaodhaniwa kuwa ni mbovu ukilinganishwa na ule wa chief mangungo wa msovero??.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Back
Top Bottom