Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAANDAMANO HAYANA TIJA KATIKA SIASA ZA SASA - (SIASA KAZI NA MAARIFA) Na Comrade Ally Maftah Moja kati ya jambo ambalo halitaungwa mkono na vijana wa kileo ni suala la kuandamana. Kuandamana ni...
0 Reactions
6 Replies
527 Views
Uongozi huwa ni kuonyesha Njia uongozi huwa ni pamoja na kusimamia yale mnayowaaminisha mnaowaongoza kwa vitendo. Sasa Chadema kupitia mwenyekiti wake Ndugu Aikael Freeman Mbowe Mmewatangazia...
1 Reactions
15 Replies
741 Views
Huyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli? Kwani maandamano yana shida gani watu...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
NEEMA YA MAJI KATA YA MAGADU Wananchi wa mitaa ya Kidondolo, Forkolend na Kididimo Kata ya Magadu kwa nyakati tofauti tofauti wameongea na kuishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Watanzania wengi wanazidi kukata tamaa na siasa hususan za uchaguzi. Kiwango cha hamasa kinazidi kushuka kila baada ya miaka 5. Usambazaji elimu ya uraia pekee hautoshi kusahihisha kasoro hii...
0 Reactions
0 Replies
17K Views
1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwanafalsafa wa JF bwana Teikon alishasema usimuonee huruma wala kumtetea masikini na mpumbavu maana unapoteza muda na huenda ukapoteza Uhuru na maisha yako bure na kusiwepo mabadiliko yoyote...
6 Reactions
15 Replies
807 Views
Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini. Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea. Shyster...
5 Reactions
10 Replies
882 Views
Kama jeshi watafanya usafiri tarehe 24 basi siku kabla ya maandamano tarehe zibadilishwe Dawa ya hawa wanasiasa kama chalamila ni kuwapeleka mperampera tu, kama kaamuru jeshi lifanye usafi tarehe...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Na Dr. Sisimizi Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana. Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres Leo hii...
0 Reactions
3 Replies
403 Views
1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi? 2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24. 3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo. Akiongeza...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbowe amezungumza......
2 Reactions
15 Replies
1K Views
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI. NEEMA KATA YA MAGADU. MHE. ABOOD AHAIDI TSH. MIL. 15,000,000/- ZAHANATI KATA MAGADU Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz. M.Abood leo tarehe...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu. Hali ngumu...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuisisitiza Serikali kuhakikisha Miswada mitatu iliyopelekwa bungeni kuakisi maoni na mapendekezo ya wadau wa demokrasia nchini. Miswada hiyo ni pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Habari za wakati Huu; Haya ni maoni ambayo pia nimeona niyalete hapa tuyaone. Moja kati ya changamoto kubwa kuliko katika Demokrasia ya Tanzania ni swala zima la Msimamizi wa Uchaguzi. Je Jukumu...
1 Reactions
1 Replies
406 Views
Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi...
18 Reactions
101 Replies
26K Views
Back
Top Bottom