Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni.
Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani?
Mawaziri wa Katiba na Sheria...
DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya.
Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje tarehe 30 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar.
https://www.youtube.com/watch?v=CU8Y0ALcmVw...
Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wakikamata Serikali kwenye marekebisho ya Katiba Viongozi wa Watu watatokana na Kura za Wananchi mambo ya kupeana Vyeo kwa Urafiki na Ushoga hatuyataki
Chadema...
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.
Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara...
Katika hesabu za kisiasa imani ya mioyo ni kitu muhimu sana kwa mafanikio na usalama wa kisiasa baina ya viongozi wakubwa wawili.
Ni ukweli usiopingika ili Rais awe na Waziri Mkuu wake ni lazima...
Moja ya piga kubwa watumishi wa umma walilipata ni kuhamishwa kwa Waziri Mchengerwa kutoka Wizara ya ofisi ya Rais Menejoment ya utumishi wa umma na Utawara Bora kwenda Wizira ya Michezo. Mhe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Kimataifa ya Kwanza Wilaya ya Kusini Unguja visiwani Zanzibar amesema kuwa akiwa mkoani...
Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu.
Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa...
Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani...
Mh Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria , ametamka hadharani kwamba zaidi ya 50% hawaijui Katiba ya sasa , Kwa tafsiri ya Kawaida ni kwamba zaidi ya nusu ya Wananchi hawaijui Katiba...
Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini...
Ndio ukweli huo.
Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani...
Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana.
Kwako Mh. Rais, naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo...
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.
Watanzania...
Habari Wana JF,
Ukweli ni Ngumu sana kwa Upinzani kuchukua Madaraka ila Kwa sasa kama Upinzani hasa CHADEMA utafanikiwa kumshawishi Majaliwa kuhamia na kugombea Urais litakuwa pigo kubwa ka CCM...
Yanipasa kufikiria mara mbili tatu kwanini haya yanatokea.
Serikali yetu ya Tanzania ilishawahi kuingia mikataba mingi huko nyuma ambayo imeliingiza Taifa letu kwenye Hasara kubwa na wizi wa...
Pamoja na kwamba Majaliwa hapendi mambo mengi ya ajabu anayofanya mtawala, lakini mtu pekee ambaye atajaribu kufunika uovu wa mtawala wa sasa kwa kadri atakavyoweza ni Majaliwa. Tayari mikakati...