Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,680
59,799
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.

Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.

Napaza sauti yangu kwa nguvu kumuombea ndugu yetu huyu apate ukuu wa wilaya.

Mkuu wa wilaya ya mtwara katumbuliwa juzi. Nafasi ipo wazi.
 
Watanzania watu wa ajabu sana, mtu anaposema ukweli lazima aanze kuandamwa na maneno ya kejeli na uchochezi, hii aibu itatutesa sana na kutuandama, wakati wenzetu wa afrika mashariki wanapiga hatua kimaendeleo leo hii sisi bado tupo tunakaa chini na kumwandama mtu kisa kwa hoja zake ambazo hata kuzijibu hatuwezi, Hakika Mheshimiwa Lowasa alikuwa sahihi kusema elimu elimu elimu
 
Siungi mkono hoja. Maana atakuwa ni DC asiye na ushawishi wowote ule kwa wale anao waongoza. Kwanza kuna wakati huwa hajielewi! Hana msimamo! Ana tabia za ukinyonga za kubadilika rangi kila mara! Unafiki kama kawaida! Ni kigeugeu! Ana njaakalihatari, nk.

Mtu gani huyu kwenye kura ya maoni ndani chama chake mwaka 2020, aliambulia kura ya Mjumbe mmoja tu!! Maana yake ana tabia ya kukurupukia mambo!
 
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.

Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.

Napaza sauti yangu kwa nguvu kumuombea ndugu yetu huyu apate ukuu wa wilaya.

Mkuu wa wilaya ya mtwara katumbuliwa juzi. Nafasi ipo wazi.
Unamuombea kwa Mungu kupata hiyo nafasi au unamuombea kwa nani? Kama unamuombea kwa Mungu basi ni vyema ungemuombea kimoyomoyo na sio kuongelea humu jf. Vinginevyo huenda unamaanisha vinginevyo!
 
Siungi mkono hoja. Maana atakuwa ni DC asiye na ushawishi wowote ule kwa wale anao waongoza. Kwanza kuna wakati huwa hajielewi! Hana msimamo! Ana tabia za ukinyonga za kubadilika rangi kila mara! Unafiki kama kawaida! Ni kigeugeu! Ana njaakalihatari, nk.

Mtu gani huyu kwenye kura ya maoni ndani chama chake mwaka 2020, aliambulia kura ya Mjumbe mmoja tu!! Maana yake ana tabia ya kurupukia mambo!
Hiyo kura moja ilikujabainika mjumbe alikosea.
 
Sasa mtu wa kujipendekeza atafanya nini ofisini? Maana akifika ofisini taaluma yake ataiweka mfukoni na kuanza kutetea tumbo
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.

Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.

Napaza sauti yangu kwa nguvu kumuombea ndugu yetu huyu apate ukuu wa wilaya.

Mkuu wa wilaya ya mtwara katumbuliwa juzi. Nafasi ipo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo na suphian wote wanafanana tabia tofauti ni umri tu
 
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.

Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.

Napaza sauti yangu kwa nguvu kumuombea ndugu yetu huyu apate ukuu wa wilaya.

Mkuu wa wilaya ya mtwara katumbuliwa juzi. Nafasi ipo wazi.
Unataka kumpoteza, huyu anatakiwa asogezwe karibu na jiko kwenda kutoa ushauri kwa kuchambua vifungu vya sheria katika utekelezaji wa maamuzi ya wakubwa. Huko wilayani kuna watu watukutu na ukitaka kuishi nao salama kwa kipindi kirefu ni kijifanya uko karibu nao na unaendana na maisha yao.
 
Watanzania watu wa ajabu sana, mtu anaposema ukweli lazima aanze kuandamwa na maneno ya kejeli na uchochezi, hii aibu itatutesa sana na kutuandama, wakati wenzetu wa afrika mashariki wanapiga hatua kimaendeleo leo hii sisi bado tupo tunakaa chini na kumwandama mtu kisa kwa hoja zake ambazo hata kuzijibu hatuwezi, Hakika Mheshimiwa Lowasa alikuwa sahihi kusema elimu elimu elimu

Paschal ana ukweli?
 
Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote.

Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi.

Napaza sauti yangu kwa nguvu kumuombea ndugu yetu huyu apate ukuu wa wilaya.

Mkuu wa wilaya ya mtwara katumbuliwa juzi. Nafasi ipo wazi.
Mwana sheria wa DP WORLD
 
Back
Top Bottom