Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,879
35,881
CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo.

Ni umeme, reli, SGR, ATCL, Demokrasia, utawala bora, ajira za kupeana, wizi, kukosekana haki au eneo gani ni salama?

Hata kama huo ndiyo ulio ukweli kwani shida Iko wapi kama wanaweza kuendelea kuchukua chao mapema kama wenye mali haiwahusu? Kwanini wasiendelee kuchukua chao kama wenye kuwawajibisha tumeshindwa hata kujitambua tu?

Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

Walisema kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Misahafu ikasema, "si kila aniambiaye bwana, bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni."

Kwamba haya yote kivyao vyao, vile vile ruksa na bila aibu?

1. Magoli ya mkono
2. Wizi wa chaguzi.
3. Kukimbia na masunduku ya kura mchana mchana.
4. Kuongeza kura kwenye masanduku.
5. Kuengua wapinzani.
6. Kununua wapinzani.
7. Kununua wasimamizi.
8. Kulazimisha refa kuwa wao.
9. Kulazimisha chaguzi bIla tume huru.
10. Kununua waliochaguliwa.
11. Kuengua waliochaguliwa.
12. Kuwashughulikia wakosoaji.
13. Nk, nk.

Halafu tupo tupo na maneno matupu huku tukikenua? Kumbe CCM watatoka je? Kwamba wataamua wao hatimaye kupumzika? Kama si Kinana, Wassira au hata JK aliyefikiria hata kustaafu tu, kumbe CCM hawa watastaafu lini na kwa ridhaa yao wenyewe?

Unamtoaje huyo madarakani kistaarabu wakati yeye siyo mstaarabu? Kwamba polisi wote wakiwamo wale wengine? Hayo si ndiyo yatakuwa ya Israeli kutotaka kushambuliwa kwenye maeneo yake ya wizi?

"Kwa hakika bila kujitoa ufahamu hata kuwa kama wao hatuwezi kutoboa. Ni lazima kuuvaa uchizi na kuwa tayari kuongea hata na mawe kiufasaha na yakapate kuelewa. bIla hivyo yatatusikia namna gani yakatupisha njia tuweke barabara?

Lugha kama hizi:

Wengine wakiziita za wenda wazimu ndizo zilizo "mujarab" kwa ma CCM. Kwa hakika hata yakiwa usingizini huamka yakasikiliza. Makomredi yakapigiana simu na kutaarifiana: "hiiiiiiiii.. iii, kmenuka!"

Wanapotufanya wajinga ni lazima wajue tuko tayari kuwaonyesha tu wajinga zaidi ya wanavyodhani:

Screenshot_20231017-081427.jpg

Heri kundi la wajinga litakalo mfurusha CCM madarakani kuliko kundi la warevu linaloendelea kuogelea kwenye rafu za CCM likisubiria huruma yake au kudra za Mola.
 
View attachment 2784174

Wengine wakiziita za wenda wazimu ndizo zilizo "mujarab" kwa ma CCM. Kwa hakika hata yakiwa usingizini huamka yakasikiliza. Makomredi yakapigiana simu na kutaarifiana: "hiiiiiiiii.. iii, kmenuka!"

Wanapotufanya wajinga ni lazima wajue tuko tayari kuwaonyesha tu wajinga zaidi ya wanavyodhani:

View attachment 2784180

ccm ni janga la taifa
 
ccm ni janga la taifa
Naam ni janga la Taifa lakini Wananchi ndio kirusi cha Taifa..
Upinzani ni vikundi vya wafanyabiashara walafi
Mpaka siku wananchi wakidai chao tutatoka tulipo
Wananchi waanze kujitambua na kuamini vyama vya opposition ni scam kama mapenzi.
Wanaharakati waungwe mkono sio wanasiasa
Chadema miaka 30 bado wanakaza kutafuta wanachama huu si upuuzi mwingine…
Wamekaa kimya hawakemei yote yanayoebdelea ndani ya serikali…
Tupo tupo tu

Tulichelewa kulitambua hili:

Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

Mwanasiasa yupo ki fursa zaidi:

a) Atasimama na suala la katiba au bandari au lolote la wananchi kama ana maslahi nalo binafsi tu. Humo yakiwemo maslahi kiuchumi na ki madaraka.
b) Husimama na wananchi anapoona kuna maslahi yake binafsi yaliyo wazi kwa wakati huo au yaliyo fiche.
c) Huyu gia kubadlika angani ni kawaida.
d) Agenda kipaumbele huwa ni maslahi binafsi. Za wananchi huwa ni kisingizio tu ambazo nazo hutumika kama daraja.
e) Huyu anachosema si lazima kuwa ana maanisha.
f) Hayuko tayari kuwa sehemu ya gharama za ukombozi ikiwamo kufa au kufungwa, yeye au jamaa zake. Huhamasisha wengine kuwa tayari kulipa gharama hizo.
g) Demokrasia kwake mtihani. Yaani alichoona yeye ndiyo masimamo. Haambiliki.
h) Huyu si nadra kuwa na wafuasi wa kulipwa, kumkingia kifua hata bila ya kuwa na hoja.
I) Anampenda mwanaharakati asiyejitambua Ili kumtumia Ili kuyafikia malengo yake.
 
CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo.

Ni umeme, reli, SGR, ATCL, Demokrasia, utawala bora, ajira za kupeana, wizi, kukosekana haki au eneo gani ni salama?

Hata kama huo ndiyo ulio ukweli kwani shida Iko wapi kama wanaweza kuendelea kuchukua chao mapema kama wenye mali haiwahusu? Kwanini wasiendelee kuchukua chao kama wenye kuwawajibisha tumeshindwa hata kujitambua tu?

Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

Walisema kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Misahafu ikasema, "si kila aniambiaye bwana, bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni."

Kwamba haya yote kivyao vyao, vile vile ruksa na bila aibu?

1. Magoli ya mkono
2. Wizi wa chaguzi.
3. Kukimbia na masunduku ya kura mchana mchana.
4. Kuongeza kura kwenye masanduku.
5. Kuengua wapinzani.
6. Kununua wapinzani.
7. Kununua wasimamizi.
8. Kulazimisha refa kuwa wao.
9. Kulazimisha chaguzi bIla tume huru.
10. Kununua waliochaguliwa.
11. Kuengua waliochaguliwa.
12. Kuwashughulikia wakosoaji.
13. Nk, nk.

Halafu tupo tupo na maneno matupu huku tukikenua? Kumbe CCM watatoka je? Kwamba wataamua wao hatimaye kupumzika? Kama si Kinana, Wassira au hata JK aliyefikiria hata kustaafu tu, kumbe CCM hawa watastaafu lini na kwa ridhaa yao wenyewe?

Unamtoaje huyo madarakani kistaarabu wakati yeye siyo mstaarabu? Kwamba polisi wote wakiwamo wale wengine? Hayo si ndiyo yatakuwa ya Israeli kutotaka kushambuliwa kwenye maeneo yake ya wizi?

"Kwa hakika bila kujitoa ufahamu hata kuwa kama wao hatuwezi kutoboa. Ni lazima kuuvaa uchizi na kuwa tayari kuongea hata na mawe kiufasaha na yakapate kuelewa. bIla hivyo yatatusikia namna gani yakatupisha njia tuweke barabara?

Lugha kama hizi:

View attachment 2784174

Wengine wakiziita za wenda wazimu ndizo zilizo "mujarab" kwa ma CCM. Kwa hakika hata yakiwa usingizini huamka yakasikiliza. Makomredi yakapigiana simu na kutaarifiana: "hiiiiiiiii.. iii, kmenuka!"

Wanapotufanya wajinga ni lazima wajue tuko tayari kuwaonyesha tu wajinga zaidi ya wanavyodhani:

View attachment 2784180

Heri kundi la wajinga litakalo mfurusha CCM madarakani kuliko kundi la warevu linaloendelea kuogelea kwenye rafu za CCM likisubiria huruma yake au kudra za Mola.
ccm ni ileile, wajinga ni sisi watanzania tulioridhika kutawaliwa na wahuni kama ccm, nasema tumeridhika kwa sababu hakuna aliye tayari kuchujua hatua, kila mtu anamtegea mwenzake na kuwarushia lawama wapinzani pasipo kujua kwamba hata hao wapinzani wanahitaji nguvu yetu sisi na muamko wetu
 
CCM ni ile ile kuing'oa madarakani ni wajibu. Si kweli kuwa kuna anayelaumiwa kwenye jukumu hili. Isipokuwa kilichopo ni kuwa kuna wasiostahili wanao walaumu wananchi.

Zingatia wanaohitajika kwenye jukumu hilo wala si wengi.

IMG_20220927_190940_421.jpg

Tofautisha wanasiasa na wana harakati:

Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

Wanaharakati watatuvusha:

Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

bila kuwastukia wajasilia siasa hawa hatuwezi kutoboa. Ndiyo maana kwenye nyuzi zenye maudhui kama haya huwezi kuwaona. Ni mwendo wa kupita juu kwa juu, kimya kimya.
 
Back
Top Bottom