Naungana na Rais Samia! Ni aibu kina Mwigulu kukata keki ya birthday ya miaka 60 ya Singida wakati inaongoza kwa umaskini Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Singida ndio nyumbani Kwa Waziri wa Fedha na Waziri wa Mipango.na Uchumi Prof.Kitila Mkumbo lakini wanafurahia birthday ya miaka 60 ya Mkoa wao Kwa kukata Keki ilhali Mkoa Bado unaogoza Kwa

-Njaa
-Umaskini wa Kipato
-Kutoa madada kazi
-Wauza nyapu

Ilitakiwa waone aibu maana hakuna Cha kusherehekea.

Naungana na Rais Samia Kwa kuwachana makavu live maana Huwa hapindishi.

Na wamshukuru Rais walau Serikali Yale imejitahidi kutoa Bajeti kubwa na miradi Mingi ya Mkoa wa Singida.

Mwisho Mkoa huo una Mawaziri wa Wizara nyeti na Kwa ujumla wake Kuna Mawaziri 4 lakini hakuna Cha maana wanafanya.

Nilitegemea Barabara ya Kuunganisha Singida na Mikoa ya Simiyu,Mbeya na Tanga kote kuwe na Wakandarasi wako busy kama ilivyo Mkoa wa Kigoma anakotoka VP Mpango.

Watu wa Singida mpende kwenu na muone aibu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713940044983988543?t=bI2bQhwGktGWTta9aTmw4w&s=19
 
Hapo kuna wa kumsimanga mwenzie?Shida za njaa,kuuza nyapu,umasikini,kutoa akina dada wa kazi nk,nani wa kumkaumu.Jibu rahisi ni serikali ya CCM.Ni akina nani wapo kwenye hiyo serikali na chama?Ni hao wote wanaosimangana.Mnataka kutuambia nini hapo?
 
Hivi mawaziri wanatakiwa kujenga Tanzania au wanatakiwa kujenga mikoa yao.

Ile mikoa ambayo haina mawaziri ni Nani anatakiwa awapelekee maji, umeme na miundo mbinu

Hayo ya wauza nyapu ni yako tu, mama Samia unae mchawawia kaongelea mkoa kuchangia pato chini ya asilimia 2
 
Utajenga Kwa jirani kabla ya kwako?
 
Singida ndio nyumbani Kwa Waziri wa Fedha na Waziri wa Mipango.na Uchumi Prof.Kitila Mkumbo lakini wanafurahia birthday ya miaka 60 ya Mkoa wao Kwa kukata Keki ilhali Mkoa Bado unaogoza Kwa

-Njaa
-Umaskini wa Kipato
-Kutoa madada kazi
-Wauza nyapu

Ilitakiwa waone aibu maana hakuna Cha kusherehekea.

Naungana na Rais Samia Kwa kuwachana makavu live maana Huwa hapindishi.

Na wamshukuru Rais walau Serikali Yale imejitahidi kutoa Bajeti kubwa na miradi Mingi ya Mkoa wa Singida.

Mwisho Mkoa huo una Mawaziri wa Wizara nyeti na Kwa ujumla wake Kuna Mawaziri 4 lakini hakuna Cha maana wanafanya.

Nilitegemea Barabara ya Kuunganisha Singida na Mikoa ya Simiyu,Mbeya na Tanga kote kuwe na Wakandarasi wako busy kama ilivyo Mkoa wa Kigoma anakotoka VP Mpango.

Watu wa Singida mpende kwenu na muone aibu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713940044983988543?t=bI2bQhwGktGWTta9aTmw4w&s=19

Ishu sio hao mawaziri ishu ni mila na desturi. Singida huko kumbatona sio taboo ni kama kula chakula.
 
Singida ndio nyumbani Kwa Waziri wa Fedha na Waziri wa Mipango.na Uchumi Prof.Kitila Mkumbo lakini wanafurahia birthday ya miaka 60 ya Mkoa wao Kwa kukata Keki ilhali Mkoa Bado unaogoza Kwa

-Njaa
-Umaskini wa Kipato
-Kutoa madada kazi
-Wauza nyapu

Ilitakiwa waone aibu maana hakuna Cha kusherehekea.

Naungana na Rais Samia Kwa kuwachana makavu live maana Huwa hapindishi.

Na wamshukuru Rais walau Serikali Yale imejitahidi kutoa Bajeti kubwa na miradi Mingi ya Mkoa wa Singida.

Mwisho Mkoa huo una Mawaziri wa Wizara nyeti na Kwa ujumla wake Kuna Mawaziri 4 lakini hakuna Cha maana wanafanya.

Nilitegemea Barabara ya Kuunganisha Singida na Mikoa ya Simiyu,Mbeya na Tanga kote kuwe na Wakandarasi wako busy kama ilivyo Mkoa wa Kigoma anakotoka VP Mpango.

Watu wa Singida mpende kwenu na muone aibu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1713940044983988543?t=bI2bQhwGktGWTta9aTmw4w&s=19

Anailaumu Singida wakati Tanzania yenyewe ina miaka 63 ikiwa inasota
 
Halafu kwanini wale wa Israeli wa igurubi wanapenda kuwananga wavaa kobaz kuwa mikoa ya pwani ni masikini, wakati mikoa mingi masikini ni ya mbengo zimefongoka…

1697479984652.jpeg
 
Wenyewe wanafanya lipi kujiletea hayo maendeleo? Kama wamejaa huko Serikalini na hakuna kitu wanafanya kwao nani Mwingine mwenye uchungu na kwao zaidi Yao wenyewe?

..kila uchaguzi mkuu si kuna ILANI?

..Ccm ina wajibu wa kueleza kwanini ilani zao za uchaguzi zimeshindwa kupeleka maendeleo Singida.
 
Back
Top Bottom