Kuna hii poster ya CCM ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii
Kwa hiyo mikutano ya CCM ni ruksa ila kwa wapinzani nongwa?
Kwao ni ruksa?
Soma Pia: Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametoa onyo hilo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuhusu madai ya baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali kutokana na mikopo ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho...
Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imewataja vigogo wa serikali, wanasiasa na viongozi wa dini watatu walionufaika na uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta...
Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu.
Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata...
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack...
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji...
Kufungia Mikutano tunarudi zama ambazo si sahihi za kuleta utengamano wa kitaifa, hatujapona makovu ya Oktoba 29, Serikali inazungumza maridhiano, wakati huohuo inafunga milango ya watu kupumua...
Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji.
Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji...
Tarehe 01 May LATRA ilitangaza nauli mpya ila wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea kuanzia 50%, mfano Arusha-Babati nauli ilikuwa sh 10,000 sasa hivi sh 15,000 na hakuna cha LATRA, Waziri...
Why public debate may be the missing ingredient in Tanzania’s PPP ambitions
Economic development is often discussed through the language of numbers. Governments announce growth targets, economists...
Kuna wale wakina sijui Tla Nini waliotumwa kuhakikisha platinum member kama Mimi nachokozeka mpaka Natokwa na udenda WA hasira watadandia soon.
Lakini Nina hoja nisikilizwe,
Haliko dangote...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema yupo tayari kupoteza nafasi yake ya uongozi endapo itahitajika, lakini hawezi kukubali kuona amani ya Tanzania ikivunjika.
"Nipo radhi...
Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira.
Chadema kimekwisha kuwa chama cha...
Nimeumia Waziri ameunda kamati ya uchunguzi wa tatizo
Msemaji wa serikali anasema umeme wa Taifa ni sawa wa nyumbani kwetu Reali ukikatika inazima lulu?
So so so stupid
Msigwa kaa chini sio kila...
Nimeenda Chuga kumsalimia jamaa yangu. Nilipofika maeneo ya Philps kama unaenda Usa river kutokea mjini nimekutana na mabasi yakiongozwa na Landcruiser nyeupe zina bendera nyekundu.
Kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.