Godbless Lema, kama ni kweli Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa mbona Makonda na Ole Sabaya hawajateuliwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,914
141,864
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.

Hii siyo kweli bwashee Lema.

Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?

Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
 
Swali rahisi sana.....sasa hao uliowataja wengine wameasi mpaka kwenye vyama vyao na msamaha wakaomba, huyo mwengine mchakatoa wake umechafuka mpaka na ushahidi upo wakitosha na bado watakimbatiwa

Wala usikwepeshe serikali chafu sana!
 
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.

Hii siyo kweli bwashee Lema.

Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?

Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Hoja ya kipumbavu
 
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani
Hao wamewekewa vikwazo na Beberu Mkuu ndio maana hata Wanakijani wanawaogopa,Kwa uzito wa maovu Yao waliyoyapeba vichwani mwao🏋️
 
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.

Hii siyo kweli bwashee Lema.

Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?

Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
We ni poyoyo kweli, Wambura ni watu wa Kilimanjaro?
 
..huenda Makonda na Sabaya bado wanatafutiwa nafasi.

..kutokuteuliwa kwao hakuwasafishi waovu wengine walioteuliwa ktk nafasi mbalimbali.
 
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.

Hii siyo kweli bwashee Lema.

Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?

Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Amewananga wale wanaopiga makele ya DCI mpya.
 
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.

Hii siyo kweli bwashee Lema.

Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?

Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Umemaliza kuandika pumba zako?? Hujui kuwa japo waliwadhibiti wapinzani lakini wajua pia waliwaudhi vipi watesi wetu hata wakaliwa vibuti??
Stop taking shits
 
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.

Hii siyo kweli bwashee Lema.

Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?

Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la polisi nakumbuka hata wewe ulikuwa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani.
Nini hii?
 
Back
Top Bottom