Kama alivyowahi kusema mkuu Mayalla, huyu Makonda ndiye Rais ajaye wa JMT labda tu Chadema watende Muujiza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Ni hivi 2025 Katibu wa Uenezi CCM ndugu Paul Makonda atagombea Ubunge na kutimba mjengoni

Baadae atateuliwa Uwaziri mkubwa tu 😃

2030 maono ya mkuu Pascal yatatimia, Paul Makonda atagombea uRais wa JMT kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi yaani CCM

Kwa Mungu Hakuna Lisilowezekana
 
IMG_1765.jpg
 
Unausisha Mungu kwa Muuwaji makonda?
 
Mbingu na ardhi zinatetemeka unaposema kwamba Makonda anaweza kuwa rais wa Tanzania.(Kama zinavyotetemeka sasa alivyochaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM).
Kama mbinu ya kushinda Uchaguzi wa 2020,Makonda alivuliwa uongozi.
Kwa nini akili zetu zinakuwa so dull,tunatoa sifa mahali ambapo hapastahili sifa?
Hizi wrong views lazima ziwe corrected ama sivyo utasikia Hashim Rungwe analalamika kwamba kadhulumiwa urais katika Uchaguzi halafu Tanzania inapata sifa mbaya kwamba haifuati haki za Binadamu.
 
Utajua hujui,time Will telll
 
Makonda alivuliwa uongozi lini?yeye aliacha U-RC kwa hiari yake na kwenda kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom