Kujibu Mapigo Mbowe CHADEMA mrudisheni Dr Slaa kwenye Ukatibu Mkuu

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Ili kujibu mapigo na kunogesha siasa za nchi yetu, basi CHADEMA wamrudishe Dr Slaa kwenye ukatibu Mkuu.

Hatua hii itafanya makada waliohama hama kurejea kwenye vyama vyao then tutaanzia siasa tulipoishia 2015.

Kama CCM wamemwamini Makonda kuwa Mwenezi wao CHADEMA wanashindwa nini kumwamini tena Dr Slaa!?
 
CHADEMA Ina watu wenye akili na haiendeshwi na matukio. CHADEMA Ina watu, talented na professional tofauti na CCM unachaguliwa kutoka na kiwango cha Ujinga wako na uwezo wa kuisigina Katiba.
 
Slaa sio mhalifu, ni msaliti
 
Hoja yako ni nzuri, slaa ana uwezo wa kujenga hoja
 
Ili kujibu mapigo na kunogesha siasa za nchi yetu, basi CHADEMA wamrudishe Dr Slaa kwenye ukatibu Mkuu.

Hatua hii itafanya makada waliohama hama kurejea kwenye vyama vyao then tutaanzia siasa tulipoishia 2015.

Kama CCM wamemwamini Makonda kuwa Mwenezi wao CHADEMA wanashindwa nini kumwamini tena Dr Slaa!?
Kwani makonda alihamia chadema au kuunga juhudu za chadema na serikali yake !

Usipendelee kurudi kinyume nyume ukiwa umeinama
 
CHADEMA Ina watu wenye akili na haiendeshwi na matukio. CHADEMA Ina watu, talented na professional tofauti na CCM unachaguliwa kutoka na kiwango cha Ujinga wako na uwezo wa kuisigina Katiba.
Ndo ww mwenye akili ni miongoni .mwa wale nyumbu
 
Hahahahahahaaa!!! Mwenzako akiliwa 0717 Na ww uliwe 0717. Kweli Hii ndio aina ya wasomi wa tanganyika.
Kazi ni kipimo cha utu
 
CHADEMA Ina watu wenye akili na haiendeshwi na matukio. CHADEMA Ina watu, talented na professional tofauti na CCM unachaguliwa kutoka na kiwango cha Ujinga wako na uwezo wa kuisigina Katiba.
cha kushangaza wajinga wanakuongoza wewe na chadema wenye akili, unaonaje akili ulizo nazo zina akili kweli? Au haujajua akili ni nini?Ujinga mwingi wa ccm ni bora mara 1000 kuliko akili ya chadema maana unawasaidia.
 
Back
Top Bottom