Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.

Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu

Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.

Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
 
Ukweli imekuwa bidhaa adieu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.

unaona mabali zaidi ya ndege Tai aise.....
 
Amewaumbua walizodai sijui Mkataba wa miaka 100 mara Milele mara Nchi imeuzwa na upuuzi kama huo.
 
Kweli kabisa

Kati ya watu waliosimama kidete kutetea ukweli kwenye hili jambo hadi kujenga confidence kubwa sana kwa wawekezaji ni Mwanasheria na Spika wa Bunge Tulia Ackson Mwansasu.

Ajijenge vizuri kwa sasa na ajipe exposure ya kutosha kuijua dunia na siasa zake hasa geopolitics . The future is clear for her
 
Ukweli imekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.

Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu

Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.

Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.

Hivi huu mkataba ndio ule waliopitisha bungeni?. Inaonekana hata haujui chochote kinachorndelea. Nadhani wameachana na mkataba wa awali na kuamua kukodisha Kama kawaida.
 
Ukweli imekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha.

Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu

Kama atasoma huu uzi naomba kumwambia rasmi. Dunia ya sasa PPP ndo mwendo na maendeleo ya kweli yanapatikana katika PPP.

Katika hili suala la namna alivyosimama hadi kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa Tanzania sio nchi ya kijamaa nasema apewe kijiti kuongoza nchi baada ya Samia 2030.
Kutetea tu ndio apewe Urais?? aisee!
 
Kwamba na akili zetu tukubali tena kuongozwa na kina Tulia ukiachilia takwa la Mungu? Kina Mama wasubirie matakwa ya Mungu kwa kipindi cha miaka 30 ijayo ila kwenda kupanga foleni kabisa na ndevu zetu hata Mungu atasema haya majitu yameaisi jinsi zao au??
 
Amewaumbua walizodai sijui Mkataba wa miaka 100 mara Milele mara Nchi imeuzwa na upuuzi kama huo.
Sikuwahi kumfuatilia before ila kwenye hili sakata amenikosha sana kwa kutetea kwake na kujenga hoja kwake.

Kikubwa ajijenge ki exposure tu maana Rais anatakiwa kuijua sana dunia na siasa zake. Samia exposure yake kwenye dunia inambeba sana
 
Kwamba na akili zetu tukubali tena kuongozwa na kina Tulia ukiachilia takwa la Mungu? Kina Mama wasubirie matakwa ya Mungu kwa kipindi cha miaka 30 ijayo ila kwenda kupanga foleni kabisa na ndevu zetu hata Mungu atasema haya majitu yameaisi jinsi zao au??
Huo ni mtazamo wako.

Kwangu naona yuko vizuri. Akiendelea hivi na akajijenga zaidi ki exposure nitashauri kwa chama ndo ashike kijiti 2030
 
Back
Top Bottom