Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila matukio hakuna Siasa na huo ndio ukweli mchungu Ndio sababu Viongozi wengi wa Afrika huteua Mawaziri wa habari wenye akili za wastani Ili wawatumie kuficha habari na kupunguza matukio kwenye...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Kuna Gari jipya limeingia kwenye msafara kwenye Barabara maarufu ya "DipuWolidi" iliyotengenezwa hivi karibuni na familia ya "Sero-Kali." Tatizo hasa ni Mwanga wa "Full Light" unaotolewa na hili...
1 Reactions
3 Replies
825 Views
Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema. Je naye TL mikito yake si mnaijua? Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti...
21 Reactions
78 Replies
8K Views
Tasnia mbili bado zipo nyuma na madhara ya hatua za taratibu za kusogea kwa maendeleo ya tasnia hizo yanaonekana dhahiri kabisa. Tasnia ya polisi na tasnia ya bahari. Polisi wetu mpaka kesho...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa...
17 Reactions
257 Replies
19K Views
Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna watu wamekulia na kulelewa mazingira ambayo wamezoea kuwaona wazaxlzi wao wakiamka na kushinda kwenye bao na kupiga porojo, wakicheka wakati wote na kufurahi. Wakitoka hapo wanaenda kwenye...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Baadhi ya maneno kwenye hotuba yake yanadai kuwa kuna mpasuko ndani ya chama ambacho alikuwa anakinanga na akaenda mbali kuashiria kwenye hicho chama wapo wanao muunga mkono ndiyo maana kuna huo...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa...
7 Reactions
146 Replies
8K Views
Salaam. Mhe Mbowe, sina shaka umesikia kauli ya mkuu wa Kaya kuhusu Katiba mpya na kwa tafsiri nyingine hata Mchakato wa IGA. Nakuuliza, kwakuwa yote hayo, kama core matters, za operation hii, ni...
0 Reactions
4 Replies
458 Views
Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro...
1 Reactions
0 Replies
485 Views
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze ameanza ziara ya Mkoa wa Mara kwa kutembelea na kuongea na Watumishi...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais Samia, mama wa shoka, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, chuma cha reli, nuru ya wanyonge, na sauti ya Afrika na wa Afrika, ameongea kwa uchungu na hisia...
11 Reactions
215 Replies
13K Views
Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa. Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Na Mimi naunga mkono hoja, Yaani mashirika yetu hususani NHC ishindwe kujenga nyumba za bei ya juu kisa hakuna Wanunuzi wa Tanzania wakati matajiri wa kigeni Wanaweza kununua na Shirika kupata...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje. Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu wanajukwaa Mimi ni mgeni, nikikosea mnirekebishe. Wakuu katika pitapita yangu nikakutana na taarifa kupitia platform za kimataifa. Je, kama taifa tunanufaika vipi na taarifa kama hii? Je...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Wakati Chadema ikiendelea kujifariji Kwa kusema inaenda kuiondoa CCM madarakani 2025,Diwani wa kata ya Kata ya Mkuzi huko Muheza bwana George Chamabai amekihama chama hicho na kutimkia CCM. CCM...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…