Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,393
1,260
  • Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi
  • Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia
  • Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake
  • Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake
Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe yenye mtangamano?

MSIKOMOANE
Wasilisho
 
Ni jinai kuikosoa CCM!!!
 
 Ulimwengu alivuliwa uraia baada ya kumkosoa Benjamin Mkapa pale Palm Beach Hotel kwenye vikao vya whiskey.

Mkapa na Ulimwengu walikuwa wanafanya kazi pamoja zamani na walikuwa karibu sana.Mkapa alivyopata urais siku za kwanza kwanza alikuwa anaenda Palm Beach Hotel pale Sea View kwenye vikao vya whiskey na wazee wa foreign/ usalama.Sasa Ulimwengu akajisahau kwamba Mkapa sasa ni "Mr. President" akawa anamchambua kama mshikaji tu mezani, Mkapa kama kawaida mtu wa hamaki akamwambia pale pale "utanitambua" ndio akaanzisha kampeni ya kumvua uraia, baadaye baadaye akaonewa haya akarudishiwa uraia wake.

Kuna wengine wanasema pia Ulimwengu alikuwa anafanya deal na Kagame Mkapa akammind.

Lakini kwa kufuata kizazi Ulimwengu ni Mnyarwanda aliyekaa sana Tanzania na I am not sure kama alichukua uraia formally au ndio wale watu waliokaa kwenye system mpaka unafikiri ni raia kumbe siyo.
 
Kati ya ulio waoridhesha ni nani yuko kwenye nchi aliyo tuhumiwa kuwa ni raia wake? Mtu huwezi kunyang'anywa uraia wake wa kuzaliwa, ila uraia wa kuomba huo unaweza kunyang'anywa wakati wowote kwani hio ni 'privilege'. Hao wote uliowataja ni watu wa mipakani na hata kama si mwana siasa, kama unataka Passport ya kusafiria Immigration huwa wana wasiwasi na sisi wa pembezoni. Kitu ambacho ni upuuzi mtupu. Ukiondoka Wasandawi na Barabaig, makabila yaliyo baki ni watu wa kuja toka Kaskazini na pembe ya Africa
 
Sllaa ni muhaini sio raia mwema
 
Tatizo linajulikana wazi
Screenshots_2023-09-04-08-28-26.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 Ulimwengu alivuliwa uraia baada ya kumkosoa Benjamin Mkapa pale Palm Beach Hotel kwenye vikao vya whiskey.

Mkapa na Ulimwengu walikuwa wanafanya kazi pamoja zamani na walikuwa karibu sana.Mkapa alivyopata urais siku za kwanza kwanza alikuwa anaenda Palm Beach Hotel pale Sea View kwenye vikao vya whiskey na wazee wa foreign/ usalama.Sasa Ulimwengu akajisahau kwamba Mkapa sasa ni "Mr. President" akawa anamchambua kama mshikaji tu mezani, Mkapa kama kawaida mtu wa hamaki akamwambia pale pale "utanitambua" ndio akaanzisha kampeni ya kumvua uraia, baadaye baadaye akaonewa haya akarudishiwa uraia wake.

Kuna wengine wanasema pia Ulimwengu alikuwa anafanya deal na Kagame Mkapa akammind.

Lakini kwa kufuata kizazi Ulimwengu ni Mnyarwanda aliyekaa sana Tanzania na I am not sure kama alichukua uraia formally au ndio wale watu waliokaa kwenye system mpaka unafikiri ni raia kumbe siyo.
Kwa taarifa yako Twaha 'General Ulimwengu' ni mzaliwa wa Tanganyika na Sasa Tanzania huko Kamachumu Muleba Kagera. Amesoma Tabora boys.
 
Kati ya ulio waoridhesha ni nani yuko kwenye nchi aliyo tuhumiwa kuwa ni raia wake? Mtu huwezi kunyang'anywa uraia wake wa kuzaliwa, ila uraia wa kuomba huo unaweza kunyang'anywa wakati wowote kwani hio ni 'privilege'. Hao wote uliowataja ni watu wa mipakani na hata kama si mwana siasa, kama unataka Passport ya kusafiria Immigration huwa wana wasiwasi na sisi wa pembezoni. Kitu ambacho ni upuuzi mtupu. Ukiondoka Wasandawi na Barabaig, makabila yaliyo baki ni watu wa kuja toka Kaskazini na pembe ya Africa
Hoja yangu utaielewa kisha tutaelewana - ni kwamba kwa nini mtu akutane na hayo kipindi anapoikosoa Serikali?
 
  • Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi
  • Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia
  • Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake
  • Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake
Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe yenye mtangamano?

MSIKOMOANE
Wasilisho
Siasa za kisengerema sana hizi
 
Back
Top Bottom