Duniani kote Siasa zinaendeshwa kwa Matukio ya Sasa na Yanayotarajiwa, bila Siasa za matukio nchi inadumaa. CHADEMA wako sahihi kwenye hili!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Bila matukio hakuna Siasa na huo ndio ukweli mchungu

Ndio sababu Viongozi wengi wa Afrika huteua Mawaziri wa habari wenye akili za wastani Ili wawatumie kuficha habari na kupunguza matukio kwenye nchi zao

Nenda Marekani, Russia, North Korea, India, UK nk wote wanafanya Siasa za matukio

So tusiwaone Chadema kama wanayumbayumba bali huo ndy mfumo wa Siasa za Modern World

Zitto Kabwe hajihusishi na Siasa za Matukio ndio sababu ACT Wazalendo imekufa kabisa huko Tanganyika

Nawatakia Tuesday yenye baraka ๐Ÿ˜„
 
I'd like to differs, siasa za matukio hazina faida yoyote zaidi ya furahisha genge, hivyo hizo ni siasa za kiuanaharakati, sio real politics za kushika nchi na kutawala nchi, Zitto Kabwe na ACT yake, wanafanya siasa za ki strategia, strategic politics, ni siasa za kimkakati kupanga mikakati ya kushika dola!.
P
 
I'd like to differs, siasa hazina faida yoyote zaidi ya furahisha genge, hivyo hizo ni siasa za kiuanaharakati, sio real politics za kushika nchi na kutawala nchi, Zitto Kabwe na ACT yake, wanafanya siasa za ki strategia, strategic politics, ni siasa za kimkakati kupanga mikakati ya kushika dola!.
P
Leo nimekuvua vyeo kabisa wanasema uzee unapeleka kuwa mtoto.

Bila chadema nchi ilishakuwa nchi ya watu na failed country.
Leo unadiliki kusema siasa ni genge kweli magufuli alipokuzungumzia jina lako hakukosea kuwa wewe ni njaa na ujui mwenye chakula ni yupi
SI ulitaka kugombea kupitia ccm
 
Kama umeanza kuonesha vibweka hivi!
 
I'd like to differs, siasa za matukio hazina faida yoyote zaidi ya furahisha genge, hivyo hizo ni siasa za kiuanaharakati, sio real politics za kushika nchi na kutawala nchi, Zitto Kabwe na ACT yake, wanafanya siasa za ki strategia, strategic politics, ni siasa za kimkakati kupanga mikakati ya kushika dola!.
P
Screenshot_20230908-023222.jpg

Strategic politics ndiyo hii?
 
I'd like to differs, siasa za matukio hazina faida yoyote zaidi ya furahisha genge, hivyo hizo ni siasa za kiuanaharakati, sio real politics za kushika nchi na kutawala nchi, Zitto Kabwe na ACT yake, wanafanya siasa za ki strategia, strategic politics, ni siasa za kimkakati kupanga mikakati ya kushika dola!.
P
Huyo Zitto atashika Dola kwa Katiba gani? Hii ya Msekwa wa Kanisa Moja Takatifu la Mitume? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Labda ajitahidi tu kuwa Chawa wa Vice

Wanaharakati ndio hufanya mambo makubwa duniani kote kama unabisha muulize Rais!
 
Leo nimekuvua vyeo kabisa wanasema uzee unapeleka kuwa mtoto.

Bila chadema nchi ilishakuwa nchi ya watu na failed country.
Leo unadiliki kusema siasa ni genge kweli magufuli alipokuzungumzia jina lako hakukosea kuwa wewe ni njaa na ujui mwenye chakula ni yupi
SI ulitaka kugombea kupitia ccm
Kawe alipata kura 1 huku mwanaharakati Gwajima akiteuliwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿผ
 
Bila matukio hakuna Siasa na huo ndio ukweli mchungu

Ndio sababu Viongozi wengi wa Afrika huteua Mawaziri wa habari wenye akili za wastani Ili wawatumie kuficha habari na kupunguza matukio kwenye nchi zao

Nenda Marekani, Russia, North Korea, India, UK nk wote wanafanya Siasa za matukio

So tusiwaone Chadema kama wanayumbayumba bali huo ndy mfumo wa Siasa za Modern World

Zitto Kabwe hajihusishi na Siasa za Matukio ndio sababu ACT Wazalendo imekufa kabisa huko Tanganyika

Nawatakia Tuesday yenye baraka ๐Ÿ˜„
Chama kisicho na sera na kuvizia matukio ni chama Cha hivyo hakijui kinataka nini.

Na watu wanaoshabikia Vyama vya hivyo huishia kukata tamaa in case hao wamepata madaraka.

Na hapa Tanzania ndio kabisaa ,utasikia wanachagua Kiongozi Ili kimkomoa Fulani eti na wengine wale ๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Wape somo! Siasa ni current affairs, lazima kwenda na wakati.
 
Dr Mwigulu PhD: Nilisoma PhD kwa kumuhofia Prof Kitila Mkumbo

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿผ๐ŸŒŸ๐Ÿ”ฅ
 
Wape somo! Siasa ni current affairs, lazima kwenda na wakati.
Pascal Mayalla bado anafanya Siasa za Ukombozi za kumsifia Nyerere Ili kumtoa uwoga wa kupambana na Mkoloni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hajui hii ni Dunia nyingine kabisa

Huko UK Wanasiasa wote wanaojadili yule dogo Gaidi Khalif alitorokaje kwenye gereza lenye ulinzi mkali

Dogo anacheka anawaambia siku zote waliofeli kiakili/ maarifa ndio huwa Wanasiasa
 
Back
Top Bottom