Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amesema “Tangu nimeteuliwa nimeelekezwa na viongozi wangu kuwa tufanye kila tunaloweza kuhakikisha mamivu ya mapungufu ya umeme...
Haya ndugu zangu hapo ni Mwanamziki nguli akiimba wimbo trna wakati Nyerere mwenyewe akiwa hai. Waliokubali kukosolewa waliongoza vema.
Nikisema vema siyo kwa kunyamaza nyamaza kwenye masuala ya...
TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala.
Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo September 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa Mzalishaji mkubwa wa...
NWM na Waziri wa Nishati DK Doto Biteko amewataka Wafanyakazi wa Tanesco kudhalilisha umeme na Nishati zingine unapatikana.
---
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi...
Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza...
Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais...
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari...
Wanabunda mpo tayari kuona mchuano wa watani wa jadi wawili Ester Bulaya na Stephen Masatu Wasira?
Za chini ya kapeti wababe hawa wawili wanajiandaa kurudi ulingoni 2025.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ‘Mcheza kwao hutunzwa’ hivyo ni lazima Serikali ipeleke maendeleo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ili kumtunza kwa maendeleo Waziri Mkuu Kassim...
Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameondoka nchini kwenda Ubelgiji, zikiwa ni siku chache baada ya kuachiliwa kwa dhamana kufuatilia kukamatwa na...
Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi...
Ni busara sana kuomba kusamehewa pale ambapo umekosea. Watanzania kulalamikia upatikanaji hafifu wa maji safi kwenye mabomba na kukatika katika kwa umeme naona ni kosa kubwa na hatustahili kuiomba...
Watch TBC live !
https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX
Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli.
Kwa vile sio...
Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia.
Amos Makala...
Baada ya uwanja wa Mkapa kutia aibu mara mbili kimataifa kwa taa kuzima katikati ya mchezo ,jana tena timu ya Yanga imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege Dodoma baada taa za uwanja kushindwa...
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.
Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.
Hakuna kiongozi wa Afrika...
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?
Maana kanyamaza kimya...