Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
Jamani hii hali mpaka lini? Mbona kama vile Biteko ni zaidi ya Makamba?
Na je Rais anafahamu kweli au hao machawa waliomzunguka wanamwambia hali ya umeme ni shwari tu?
Maana kanyamaza kimya hatii neno, kama kaamua 2025 hataki tena ndio adharau kwa sasa? Mie nadhani bora aachie tuu sasa hivi maana 2025 ni mbali sana kama ataachia mambo hivi hivi yaendelee!
Atimize wajibu au ajiweke pembeni kwa heshima yetu