Rais Samia unaowabeba hawabebeki

Rais Samia unaowabeba hawabebeki

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,889
Reaction score
8,487
Baada ya uwanja wa Mkapa kutia aibu mara mbili kimataifa kwa taa kuzima katikati ya mchezo ,jana tena timu ya Yanga imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege Dodoma baada taa za uwanja kushindwa kuwaka hivyo kulazimisha ndege irudi Dares salaam.

Mawaziri wanaoongoza kutia aibu taifa kwa utendaji duni na wa hovyo sana lakini wameendelea kubebwa na Rais Samia ni January Makamba Nape Nauye na Makame Mbarawa.

Miaka miwili ya utawala wa rais Samia imepita lakini wizara hizi hakuna walichofanikisha zaidi kula rushwa na kusaini mikataba ya kifisadi.

Ndege waliyokuwa wanasafiria Wachezaji wa Yanga imeshindwa kutua Dodoma Ndege waliyokuwa wanasafiria Wachezaji wa Yanga imeshindwa kutua Dodoma
 
Baada ya uwanja wa Mkapa kutia aibu mara mbili kimataifa kwa taa kuzima katikati ya mchezo ,jana tena timu ya Yanga imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege Dodoma baada taa za uwanja kushindwa kuwaka hivyo kulazimisha ndege irudi Dares salaam...
Haifanyiki KWA Bahati mbaya hii kitu!

Kuna kete zinasogezwa KWA malengo maalumu!!
 
Haifanyiki KWA Bahati mbaya hii kitu!

Kuna kete zinasogezwa KWA malengo maalumu!!

Upo sahihi. Angalia vizuri kongole zinapigwa wapi humu jamvini kwenye uzi wowote ule unaohusiana na Nishati:Tanesco, Umeme n.k, Elimu: Walimu Shule, kiingereza n.k Keyword "Hatuwezi".

Kama ushasikia Uhujumu uchumi- yanayoendelea sasa(kete kusogezwa)-ndio huu.

kukatisha na kuhakikisha mnakata tamaa na kuomba usaidizi, na hapo ndii kwisha, kwani hoja yeyote ile baada ya hapo, itakuwa 'mlishindwa' na mmetuita wenyewe.
 
Analengwa nani?
Mlengwa wa Kwanza ni Umma. Umna ukianza kuwageukia Mashirika husika, kinachofuatia ni Ushauri au mapendekezo ya kukwamua kutoka kwenye matatizo yanayoonekana. Mbadala wake unaeleweka.
 
Yule dogo bado anatingisha kipara chake tu kwenye hii wizara. Offcoz anaekibeba kipara atakigharimia mpaka mwisho
 
Mlengwa wa Kwanza ni Umma. Umna ukianza kuwageukia Mashirika husika, kinachofuatia ni Ushauri au mapendekezo ya kukwamua kutoka kwenye matatizo yanayoonekana. Mbadala wake unaeleweka.
Inashangaza
 
Slogan yenu inafaa kuwa ni "Jamhuri ya Muunganooo... Wizi uendelee...*
 
Angalia vizuri kongole zinapigwa wapi humu jamvini kwenye uzi wowote ule unaohusiana na Nishati:Tanesco, Umeme n.k, Elimu: Walimu Shule, kiingereza n.k Keyword "Hatuwezi".

Kama ushasikia Uhujumu uchumi- yanayoendelea sasa(kete kusogezw

Mlengwa wa Kwanza ni Umma. Umna ukianza kuwageukia Mashirika husika, kinachofuatia ni Ushauri au mapendekezo ya kukwamua kutoka kwenye matatizo yanayoonekana. Mbadala wake unaeleweka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom