Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,453
17,158
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo.

Na wazungu hata uwe dikteta vipi, kama huathiri maslahi yao huwezi kusemwa vibaya hata siku moja. Mfano mzuri ni Kagame. Umewahi kusikia Kagame anasemwa vibaya pamoja na kufunga wapinzani wake wote?

Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa, kwa hiyo wanajua wakimsifia kwenye media zao na kumpamba basi yeye hukenua meno na kuchanua mapaja watu wajichotee malighafi wanazotaka bila shida.

Ukiona kiongozi wenu anasifiwa na wazungu ujue mmepigwa na kitu kizito kichwani.
 
Endeleeni kulia lia Wanyapori wanaanza kwenda nje sijui ni hao wazungu ndo wameamua
20220604_203821.jpg
 
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu...
Hawa hawa Wazungu wanaoisaidia nchi yako madawa ya kufubaza virusi vya ukimwi na kifua kikuu bure? Au wazungu gani?
 
Hayo ni mawazo yako ndugu... Wazungu hawa hawa unaotumia chanjo zao na madawa yao?

Poor thinking
Wewe ni wale wanawake wanaopigwa mtungo halafu wananunuliwa bia, anasifia kununuliwa bia na anasahau ameliwa utamu kwa bia.

Unatoa rasilimali za nchi kwa kupewa vichanjo vya ajabu ajabuhalafu unasifia chanjo umesahau twiga uliowapatia. Taahira kabisa.
 
Wazungu wanahuzunika kwanza-wanaponda nakudhihaki...halafu
Wanasifia ili waipate TANESCO
Wanasifia ili wapate Kutuuzia Silaha
Wanasifia ili wapate MAKANIKA ya Dhahabu
Wanasifia ili watusimike Ukatili
Wanasifia ili wafiche maovu yao Duniani.
 
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo.

Na wazungu hata uwe dikteta vipi, kama huathiri maslahi yao huwezi kusemwa vibaya hata siku moja. Mfano mzuri ni Kagame. Umewahi kusikia Kagame anasemwa vibaya pamoja na kufunga wapinzani wake wote?

Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa, kwa hiyo wanajua wakimsifia kwenye media zao na kumpamba basi yeye hukenua meno na kuchanua mapaja watu wajichotee malighafi wanazotaka bila shida.

Ukiona kiongozi wenu anasifiwa na wazungu ujue mmepigwa na kitu kizito kichwani.
Sukuma gang at work

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni wale wanawake wanaopigwa mtungo halafu wananunuliwa bia, anasifia kununuliwa bia na anasahau ameliwa utamu kwa bia.

Unatoa rasilimali za nchi kwa kupewa vichanjo vya ajabu ajabuhalafu unasifia chanjo umesahau twiga uliowapatia. Taahira kabisa.
Kwahiyo unataka waache rasilimali wakuchukue wewe? Nenda kaoge basi na wewe uchukuliwe kama rasilimali.
 
Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu.

Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo.

Na wazungu hata uwe dikteta vipi, kama huathiri maslahi yao huwezi kusemwa vibaya hata siku moja. Mfano mzuri ni Kagame. Umewahi kusikia Kagame anasemwa vibaya pamoja na kufunga wapinzani wake wote?

Wazungu wanajua, tabia ya kwanza ya viongozi wa Afrika ni kupenda sifa, kwa hiyo wanajua wakimsifia kwenye media zao na kumpamba basi yeye hukenua meno na kuchanua mapaja watu wajichotee malighafi wanazotaka bila shida.

Ukiona kiongozi wenu anasifiwa na wazungu ujue mmepigwa na kitu kizito kichwani.
Magufuli alisifiwa kweli na wazungu "The african tanzania buldoser"
>Kiongozi mzuri ni yule anayetengeneza uwiano sawa wa kiuchumi na mataifa yote duniani anayekaa na viongozi wenzake kuona wanazipelekaje nchi zao, kiongozi mwoga wa kukutana na wenzake hatufai kabisa...
 
Back
Top Bottom