NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,535
- 17,479
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo.
Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani mwenye serikali akichukia tu anatuma hao vipepeo na kumaliza KAZI bila hata wasiwasi!
Kama ni mbunge kapinga bajeti ya waziri fulani na waziri anamuona huyo mbunge ni kukwazo katika upigaji si atamlipa kipepeo YEYOTE akijua kipepeo hashtakiwi KWA jinai yeyote!!?
Hivi mmewaza haya au mlipitisha haya KWA akili timamu au mmelewa!!?
SASA tukipata dictator mwingine KWA katiba iliyopo unafikiri tutapona!!?mi ningekuwepo humo ningepingana na hata Baraza la mawaziri hata mwenyekiti wa ccm ningemgomea!
Hiyo SHERIA ni hatari hata KWA Rais mwenyewe coz akihujumiwa na wasiojulikana hawezi kuwashtaki popote pale!!
Ina maana hata akiumizwa na hao vipepeo hawezi wawajibisha KWA LOLOTE kisheria zaidi ya kutaka kutoa amri na wao waende na maji!
SHERIA hii inahalalisha mateso fulani KWA wale wenye FIKRA mbadala dhidi ya serikali,hii SHERIA inaenda kuua uhuru wa kutoa maoni indirect way!!
Pole chama changu CCM KWA kukosa maono,pole mama Tanzania!
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA