Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo
Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila...
Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
MBUNGE ASSA MAKANIKA: WANANCHI CHANGAMKIENI FURSA ZA MATIBABU YA BURE
WANANCHI KIGOMA WAPATA MATIBABU BURE
Madaktari Bingwa 11 kutoka nchini China 🇨🇳 wameweka kambi ya Siku 5 katika Halmashauri...
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji...
Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi...
Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.
Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi...
"Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika...
Tunaiomba Sekretarieti kuu ya CCM kuprint fomu moja tu ya Rais Samia kwa mengi mazuri ya Rais Samia, amebadili maisha yetu watu Masasi kwa kiwango kikubwa, kwakweli Allah (Mwenyezi Mungu) ampe...
Najua kabisa Shujaa JPM alichukua mambo mazuri Yote yaliyokuwa Kwenye Ilani za Uchaguzi za CHADEMA na ACT Wazalendo mwaka 2015
Kwa mfano Elimu Bure na Kushusha Bei ya cement ni Sera za CHADEMA...
Kuna watumishi walipandishwa madaraja 2016, 2017, 2019 na 2021. Marekebisho ya mishahara yakacheleweshwa hivyo kusababisha madeni ya malimbikizo ya mshahara.
Kila waziri anayeteuliwa wizara ya...
Jumapili ya leo najaribu kuvirejea viapo mbalimbali nilivyowahi kuapa na ahadi mbalimbali nilizoahidi kuzitekeleza.
Miongoni mwa hizo ni ahadi nilizoahidi wakati napokea kadi yangu ya uanachama...
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa). Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 14, 2023 amewasili Rome, Italia ambapo atamuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani...
IGUNGA NA SAMIA: UVCCM TABORA WAZINDUA MAPOKEZI KWA KISHINDO
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Tabora Comrade Kelvin Mpiwa ameongoza "Jogging" ya Vijana ikiwa...
Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa.
Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama...
Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .
Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka...
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia
Wengi...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika...
Mheshimiwa Posi nimekusikiliza vizuri kipindi cha jambo na nimesoma citizen ninakukupa maua yako toka nyota yako ilipong'ara serikali ya awamu ya Tano umefaa kila kona uliyopelekwa kutumikia...