Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 562
- 522
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa CHADEMA Vyuo Vikuu (CHASO).