Zitto Kabwe: Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
925
Reaction score
3,226
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!

Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa.

Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.

Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all. Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.

Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.

Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?

1778747776501.png

Pia soma: Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa
 
kumbe mwami yupo? :pedroP:

ni muhimu sana zito akawa na adabu kidogo,
chama cha siasa kinachokiuka sheria na masharti ya usajili wake kinaweza kufutwa wakati wowote kwa mujibu wa sharia za nchi na sio msajili.

wajibu wa msajili wa vyama vya siasa ni kulea vyama vya siasa vinavyo tii na kuzingatia sheria katika kufanya kazi zao za kisiasa. Vyama vinavyokiuka sheria ni lazima vifutwe tu maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.

Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!

Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!

Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.

Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.

Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.

Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.

1778749204363.png
 
labda zito mwenyewe ndio anatarajia kufa kwasababu hiyo nonsense
 
True, a reasonable man wouldn't have acted this way. Kwa vile wanaelekezwa na wao hawataki kutumia akili wacha watumike. ONA aibu ambayo Chande kavuna!!!
 
zito kabwe is a trojan horse, usimuamini hata siku moja, yuko nao, na ukitaka kulijua hilo jiulize ni lini alimpinga au kumkosoa raisi samia kwa chochote kile ukichulia yeye ni "mpinzani" ni lazima kama mpinzani awe na la kusema khs uchumi, ajira, usalama wa wananchi au hata miundo mbinu kukosekana kwa maji yote hayo ni lini aliongea kama mpinzani ? tusizunguke mbuyu raisi ndiye muamuzi wa haya yote hao akina sijui mtungi hata wao wanapokea tu amri ktk juu ambayo inatoka kwa raisi wa nchi.
 
Ukiona Nyumbu wanapost alichoandika Zitto Kabwe ujue Mambo magumu, na tunataka mfanye siasa za kitaarabu kama za ACT Wazalendo na CHAUMA
 
ZITTO KABWE ANAJITEKENYA ANACHEKA MWENYEWE..MTAMLAUMU MSAJILI BURE..HAPO NI MFUMO NDO SHIDA..HUYO MSAJILI YUPO CHINI YA NANI KWENYE TAIFA UNADHANI ATAENDA KINYUME NA BOSI WAKE? HATA VYOMBO VYOTE MNAVILAUM BURE...FUMUENI MIFUMO MSUKE UPYA KINGA ZILUDI KWA WANANCHI..MUONE KAMA TAIFA HALITOKIMBIA MCHAKA MCHAKA KIMAENDELEO...WOTE WANAOKUJA HUMU KULAUMU SIJUI POLISI,TISS, SIJUI MSAJILI SIJUI MAHAKAMA NA N.K NI WALE WALE TU TOFAUTI YENU NI RANGI....KWAHYO ZITTO HANA HOJA...FUTENI VYAMA VYA SIASA VYOTE MUANZE UPYA.
 
kumbe mwami yupo? :pedroP:

ni muhimu sana zito akawa na adabu kidogo,
chama cha siasa kinachokiuka sheria na masharti ya usajili wake kinaweza kufutwa wakati wowote kwa mujibu wa sharia za nchi na sio msajili.

wajibu wa msajili wa vyama vya siasa ni kulea vyama vya siasa vinavyo tii na kuzingatia sheria katika kufanya kazi zao za kisiasa. Vyama vinavyokiuka sheria ni lazima vifutwe tu maana hakuna namna nyingine sasa.

Bahati mzuri, IGP anapotoa zuio la watu kutokutoka nje uwa anasema watu wote mwisho saa 12

Huwa hasemi chadema tu ikifika saa 12 wakae ndani wasitoke nje

Report ya jaji chande imewasema office ya msajili, so na wao hawajui kuwa vyama vinatakiwa kuwajibishwa au kufutwa vikivunja sheria.?

Mwenezi wa ccm aliwahi kusema Chadema wameleta ugonjwa

Mbona office ya msajili haikusema kitu?

Unamjua msajili wa vyama zanzibar?

Umewahi kumsikia? Umewahi kusikia Tamko lake kwa vyama vya siasa?

Hapa kwetu tumerogwa trust me Gentleman
 
Gentleman,
huna haja ya kumbwelambwela na porojo nyiiiiingi zisizo na maana yoyote jukwaani.

Ni muhimu sana kufahamu kwamba, ni wajibu kisheria kwa chama chochote cha siasa nchini, kuzingatia na kufuata sheria bila kumbwelambwela nonsense majukwaani, kwasababu kwa kukiuka sharia, kinaweza kuzuiawa kufanya siasa au kufutwa kabisa 🐒
 
ZITTO KABWE ANAJITEKENYA ANACHEKA MWENYEWE..MTAMLAUMU MSAJILI BURE..HAPO NI MFUMO NDO SHIDA..HUYO MSAJILI YUPO CHINI YA NANI KWENYE TAIFA UNADHANI ATAENDA KINYUME NA BOSI WAKE? HATA VYOMBO VYOTE MNAVILAUM BURE...FUMUENI MIFUMO MSUKE UPYA KINGA ZILUDI KWA WANANCHI..MUONE KAMA TAIFA HALITOKIMBIA MCHAKA MCHAKA KIMAENDELEO...WOTE WANAOKUJA HUMU KULAUMU SIJUI POLISI,TISS, SIJUI MSAJILI SIJUI MAHAKAMA NA N.K NI WALE WALE TU TOFAUTI YENU NI RANGI....KWAHYO ZITTO HANA HOJA...FUTENI VYAMA VYA SIASA VYOTE MUANZE UPYA.
Ukweli mtupu huu

Ova
Tlaatlaah
 
Gentleman,
huna haja ya kumbwelambwela na porojo nyiiiiingi zisizo na maana yoyote jukwaani.

Ni muhimu sana kufahamu kwamba, ni wajibu kisheria kwa chama chochote cha siasa nchini, kuzingatia na kufuata sheria bila kumbwelambwela nonsense majukwaani, kwasababu kwa kukiuka sharia, kinaweza kuzuiawa kufanya siasa au kufutwa kabisa 🐒

Nitajie mtu mmoja au taasisi moja hapa Tanzania ambayo inafata sheria kwa 100%

Mtoe mama samia, na Balozi Nchimbi
 
Ukweli mtupu huu

Ova
Tlaatlaah
Gentleman,
ni muhimu zaidi kila mTanzania kutambua nafasi na wajibu wake kwa taifa, bila kuorodhesha visingizio vingi ambavyo havimpi likizo ya kutokutii sheria wala kutokuchukuliwa hatua za kisheria akizikiuka.

kila moja atekeleze wajibu wake kwa ujasiri na bila woga.
Kama mtaalamu na mwanasiasa muandamizi Tanzania,
Nashauri miongoni mwa hatua za kuichukulia chadema ni pamoja na kufutiwa usajili.
 
Kisifutwe chadema, mfumo wa vyama vingi ufutwe
 
gentleman,
samaki moja akioza,
unamtoa na kumtupa kule, wale wengine waliobaki wanaendelea kua kitoweo muhimu sana kiafya yako.

ama haujui hilo?
 
Back
Top Bottom