Mwezi Machi mwaka 2017 Tundu Lissu alichaguliwa kuwa Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika- TLS.Alishinda kwa kishindo kwa zaidi ya asilimia 88.
Mwezi Septemba 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi...
Nani anaweza kunambia ni faida kiasi gani tumepata tangu Lissu amekamatwa?
Ni nani anaefaidika na kukamatwa kwa Lissu? Maana kama taifa, hakuna faida yoyote wananchi tunapata tangu amekamatwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Amri iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya kutaka Wageni wote wasajiliwe kwa kutumia Namba za Nida katika nyumba za Kulala Wageni Inakwenda kudhoofisha secta hiyo na...
Naishauri serikali isifungue shule TAREHE 6/7/2026 iache hii wiki ipitie hakuna chakupoteza.
Wiki hii mpaka TAREHE ya hayo maandamano ni kipindi Tete kiusalama serikali isilazimishe unnecessary...
Wana JamiiForums,
Kuna wimbi la nyuzi za kijinga na za kipuuzi zinazoanzishwa wakati huu nchini, zikiongozwa na hofu kubwa ya maandamano na mabadiliko ya kisiasa. Katika nyuzi hizo, wapo wanaoibua...
Watu wengi huenda hawaelewi kwanini Tundu Lissu kaamua kuwa anaingia mahakamani kwa style ile na bila shaka wengi hawapati majibu.
Binafsi naamini sababu ni hizi:
1. Kuonyesha kuwa sasa anaishi...
Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika.
Hili limekaaje wadau?
NYONGEZA.
Hapa karibuni, Msukuma ameliongelea hili.
CCM imedoroa.
Ukitaka kujua aina ya watu wanaojiita watawala na level ya fikra zao na uwezo wao, Msikilize huyu bwana Ulega!!!!
Yaani una Nchi yenye kilometa za mraba 945,000.
Nchi pekee yenye Tanzanite...
Ukisoma ibara zote za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kosa pekee la uhaini ambalo limetatwa kwenye katiba ni uhaini.
Kwa mujibu ya ibara ya 28 (4) uhaini ndio kosa kubwa kuliko yote...
Katika familia inatarajiwa Baba akiyumba, basi Mama amuimarishe Baba, Mama akishindwa na yeye akayumba vile vile, basi Watoto wawaimarishe wazawa wao, lakini kama imeshindikana kabisa watoto...
1 Timotheo 3:1-7
[1]Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu,
atamani kazi njema.
This is a true saying, If a man desire the office of a bishop, he desireth a good work.
[2]Basi imempasa...
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na...
COMMENTS ZIWE FUPINFUPI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu...
Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali...
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya...
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa...
KAFULILA: ECOSYSTEM YA UBIA INAJUMUISHA WANANCHI, SERIKALI NA SEKTA BINAFSI
==
Akijibu masuala ya wadau katika Kongamano la Kitaifa la Nishati, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha PPP (PPPC), Bwana...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.