Kutana na Majaji macho kumchuzi

Kutana na Majaji macho kumchuzi

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,216
Reaction score
20,548
Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma, Jaji Mwambegele na Jaji Francis Mutungi.

Hawa ndiyo Majaji walioshusha hadhi ya mahakama hapa Tanzania. Hawa ni Majaji macho kumchuzi. Hawa ndiyo wamewafedhehesha Majaji na mahakimu wote Tanzania. Majaji hawa wameonyesha kujali sana matumbo yao kuliko taaluma yao. Haki kwao si lo lote wala cho chote bali manufaa kwa familia zao.

Majaji zamani walikuwa wakiheshimiwa sana na raia wote kuwa ni watu wa HAKI BIN HAKI, wanajali utu wa mtu na si fedha na watu wenye misimamo isiyo yumba.

Kwa Watanzania hivi sasa wanawaona Majaji kama watu wa hovyo sana, mafisadi na waroho wa mali za dhuluma.

Hakika Majaji macho kumchuzi wamenajisi mahakama ya Tanzania!
 
Bila jina la mazafaka Hamidu Mwanga kuwemo kwenye orodha yako ya rogue judicial officers, mimi sitaridhika sana na uzi wako. The appointment of zati mazafaka to the bench was a great disservice to justice!
 
Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma, Jaji Mwambegele na Jaji Francis Mutungi.

Hawa ndiyo Majaji walioshusha hadhi ya mahakama hapa Tanzania. Hawa ni Majaji macho kumchuzi. Hawa ndiyo wamewafedhehesha Majaji na mahakimu wote Tanzania. Majaji hawa wameonyesha kujali sana matumbo yao kuliko taaluma yao. Haki kwao si lo lote wala cho chote bali manufaa kwa familia zao.

Majaji zamani walikuwa wakiheshimiwa sana na raia wote kuwa ni watu wa HAKI BIN HAKI, wanajali utu wa mtu na si fedha na watu wenye misimamo isiyo yumba.

Kwa Watanzania hivi sasa wanawaona Majaji kama watu wa hovyo sana, mafisadi na waroho wa mali za dhuluma.

Hakika Majaji macho kumchuzi wamenajisi mahakama ya Tanzania!
Hamidu Mwanga
 
😂😂
 
Na Masaju naye ni macho ku mchuzi
 
Hivi, kuuliza si upumbavu ujue?Macho kumchuzi ndiyo yale macho legevu ambayo hayaoni ukweli wala haki?Ni macho ya kipambaff ambayo yakiambiwa yatazame ukweli yanaomba yaundiwe tume ingine ichunguze kama yaliona kitu,siyo? Kweli macho kumchuzi k...nioko!
 
Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma, Jaji Mwambegele na Jaji Francis Mutungi.

Hawa ndiyo Majaji walioshusha hadhi ya mahakama hapa Tanzania. Hawa ni Majaji macho kumchuzi. Hawa ndiyo wamewafedhehesha Majaji na mahakimu wote Tanzania. Majaji hawa wameonyesha kujali sana matumbo yao kuliko taaluma yao. Haki kwao si lo lote wala cho chote bali manufaa kwa familia zao.

Majaji zamani walikuwa wakiheshimiwa sana na raia wote kuwa ni watu wa HAKI BIN HAKI, wanajali utu wa mtu na si fedha na watu wenye misimamo isiyo yumba.

Kwa Watanzania hivi sasa wanawaona Majaji kama watu wa hovyo sana, mafisadi na waroho wa mali za dhuluma.

Hakika Majaji macho kumchuzi wamenajisi mahakama ya Tanzania!
Nonsense 🐒
 
Nonsense 🐒
Wewe na Hamidu Mwanga ni
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Sasa kuna George Masaju, huyu ndiyo takataka kabisa🚮🚮🚮

Usisahau na yule Jaji wa Samia, Jaji Mwanga…kiazi wa elimu mbalimbali kama dada yake🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom