mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 358
- 895
Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza kufanya kama wanavyotaka, hata yale makucha waliyokuwa wanayaficha watayachomoa plus visasi.
Baada ya hapo yamkini ndio utabiri wa shehe Yahaya utatimia.
Ni maoni yangu binafsi msinitukane.