JKT Graduates — A Military-Trained Population With No Stake in the System

JKT Graduates — A Military-Trained Population With No Stake in the System

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,200
Reaction score
13,488
The JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) system is, in structural terms, a radicalization pipeline that the state itself operates — not intentionally, but through the gap between what it promises and what it delivers.

Ni nani aliwadanganya CCM kuwa Wanaweza tena kuitawala Tanzania kwa nguvu.

JKT inaweza kuwa chachu ya anguko la CCM
 
Vijana wengi kutoka JKT hawana ajira na wamefundishwa matumizi ya silaha pia jeshi
 
Vijana wengi kutoka JKT hawana ajira na wamefundishwa matumizi ya silaha pia jeshi
Hili ni moja ya makundi yatainyoosha CCM, nadhani JKT kwa mujibu ilirejeshwa awamu ya pili ya Kikwete baada ya uchaguzi wa Dk Slaa
 
Back
Top Bottom