Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu.
Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli.
KABLA YA KUPIGA KURA
Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na...
Naomba kuuliza hivi hawa wambunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wapo??
Barabara ni mbovu sijawahi kuona toka mwaka 2021 mpaka sasa hakuna kipindi kina barabara mbovu kama miaka hii mitano...
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa.
Kila auawe ima atauawa au atakufa tu.
Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia
Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka
Namuonea huruma...
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi...
M-hali gani?
Kumekuwa na sintofahamu baada ya mwanadada huyu mlimbewende kutumbuliwa, hebu tujuzane iwe onyo au usikute kongole kwa vijana wengine viongozi.
Pia soma Dkt. Evaline Munisi ateuliwa...
Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema...
Tanzania tuna taasisi ya kiserikali ya RITA ambayo moja ya majukumu yake ni kutambua na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na vifo.
Kwa Tanzania na dunia ya leo, cheti cha kuzaliwa ni muhimu maana...
Wakitoka madarakani watalilia na kutaka HAKI maana wanajua umuhimu wa haki. Hawa wataomba hata Dunia iwasaidie watendewe haki maana haki ni kama OXYGEN.
Lakini kwa vile wakitimiza, WAKITENDA...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Swali ambalo wengi wamekuwa wanajiuliza Sana na kukosa Majibu. Hivi ni Kwanini Asilimia Kubwa ya wanachama wa CHADEMA Wanatukana sana Matusi Utafikiri Vichaa au...
Mhe. Lissu: Nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza...
Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu...
Tume ya Jaji Kisanga(white paper) ilituvusha bila taharuki lakini tume ya Jaji warioba ilituletea chaos
Ukiniambia ni ipi ilikuwa tume bora nitakwambia ni ile iliyotuachia amani yetu Tanzania.
Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro.
Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana.
Fuatilia...
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.
Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na...
BWAWA LA UMEME JNHPP- LINATIMIZA NDOTO YA NYERERE, NA NI MAFANIKIO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MWELEKEO MPYA WA UCHUMI.
Ameandika Cde Shaka Hamdu
Leo ni siku ya kihistoria, Siku...
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza...
https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ
Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?
Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.