Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,821
- 8,747
Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu.
Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli.
KABLA YA KUPIGA KURA
Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii.
Wakati wa kampeni hao wanaowania nafasi za uongozi hutubembeleza Kwa Kila aina ya ahadi,kwa nidhamu ya hali ya juu mno.
Hua wanatambua kua sisi wananchi ndio wenye nchi na Mamlaka yote yanatokea kwetu.
Viongozi wetu hua wanatambua kua,Sisi wananchi ndio tunaoataka nani awe kiongozi na nani asiwe.
Huwa wanatubembeleza tujitokeze kwa wingi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na hua wanatubembeleza tujitokeze kupiga kura kwa wingi.
BAADA YA KUPIGA KURA.
Tukishapiga kura,dakika moja TU baada ya kupiga kura hua haturuhusiwi hata kukaa eneo la kupiga kura ili tujiridhishe TU na zoezi linavyokwenda, kuona kama Kuna haki inatendeka.
Hua tunafukuzwa turudi nyumbani.
kura niliyopiga Sina haki nayo Tena.
Na tuliowachagua wakiishaapishwa TU,ni kama vita rasmi imetangazwa baina ya waliochaguliwa dhidi ya waliochagua.
Ukijaribu kuhoji chochote andika urithi.
Viongozi wetu Hua hawataki kusikia maoni yetu,kwamba tunataka tuongozwe vipi.
Kiuhalisia sisi ndio wenye nchi,sisi ndio hua tunataka tuongozwe vipi,
Sisi ndio tunataka katiba mpya,
viongozi wetu hawataki, Sasa sijui wanamuongoza nani,wakati sisi ndio tumewachagua.
Ni sisi wananchi ambao ni wapiga kura, ndio hua tunapenda tuongozwe na v
Watu tutakaowachagua, ambao ni Wananchi wenzetu.
Tukishawachagua wanageuka kua Maadui zetu na sisi mateka wao.
Ukiangalia kwa idadi viongozi tuliowachagua ni wachache mno hawafikii hata asilimia moja ya Watanzania wote,lakini hua hawataki maoni yetu kabisa,sisi Watanzania milioni sabini,wakati wao hata elfu moja sidhani kama wanafika.
Hawataki katiba mpya,Tume huru, Muundo wa Muungano,Marekebisho ya Jeshi la polisi na hata Usalama wa Taifa.
Hawataki utaratibu tunaotaka sie wa jinsi ya kutuhudumia huko maofisini,hawataki Kila kitu.
Hata wale ambao hua wanaitwa wawakilishi wetu,nao huungana nao na kuanza kutuponda.
Sisi wananchi wa TANZANIAN ndio tunaotaka Marekebisho hayo,lkn viongozi tuliowachagua hawataki maoni yetu.
Unaweza kudhani viongozi hao Wana akili kushinda Watanzania wote lkn ukweli sio hivyo.
Huku uraiani Kuna wananchi raia wa nchi hii, Wana akili na elimu kubwa kushinda viongozi wote tuliowachagua,lkn hao viongozi hawataki kabisa kusikiliza na kutekeleza maoni na matakwa ya sisi wananchi.
Viongozi tuliowachagua sisi wenyewe,baada TU ya kutangazwa matokeo ya kura ziwe halali au haramu na baada TU ya kuapishwa, hapohapo wanageuka kua Maadui wa sisi tuliowaweka madarakani.
Mwananchi akiajaribu kutoa maoni yake,kama anavyoruhusiwa na katiba hiihii wanayoing'ang'ania,juu ya kipengele Cha uhuru wa kutoa maoni, huyo tayari anakua ameingia katika orodha ya Maadui wa viongozi,sio serikali Bali viongozi.
Viongozi kama Hawa wanapatikana TANZANIAN TU na nchi nyingine chache za hovyo.
Ukweli ni kwamba TANZANIAN tuna viongozi wa aina mbili.
Viongozi wa kwanza ni wa kabla ya uchaguzi na
Viongozi wa pili ni wa baada ya uchaguzi.