Jana nilikutana na Yesu Manzese

Jana nilikutana na Yesu Manzese

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
391
Reaction score
732
Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.
 
1000328370.png
 
Usitutishe bwana. Mfalme Zumaridi yeye alienda kabisa Mbinguni kwa Baba na hadi Malaika Mkuu Gabriel akamtongoza na akamkataa!!!
 
Uliposema mtume Muhammad hapo ndo umeharibu stori nzima, yule jamaa hana sifa za kuwa mtume. Au hujasoma habari zake?
Hata wewe umeharibu. Soma vizuri uelewe badala ya kunielekeza kwenye urongo na hadithi za alinacha zile zile.
 
Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.
Ni anafanana na yule mzungu kwenye movie?
 
Ndiyo.
Nakumbuka nilipata vision ya Yesu amekwenda kwa mama ntilie.
Lakini (Yesu) alikwenda na kijiko chake cha dhahabu amekiweka mfukoni.
 
Wagonjwa wa akili ni wengi sana siku hizi, na sio lazima mtu avue nguo maana nguvua nguo ni stage ya mwisho.

Wahi mirembe mkuu, tatizo lako linatibika.
 
Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.
Acha kuvuta bangi!
Next time utatuambia ulienda disco na shetani!
 
Back
Top Bottom