Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 548
- 646
Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo.
Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Najiuliza siku mhimili wa kutoa haki ukisema tuta tafsiri sheria kisawa sawa; na kwamba wataachana na hbr ya jaji na tabia ya jaji Mwanga.
Nini kinatokea in (Mwamposa voice)