Wabunge wa kanda ya ziwa hivi wapo?

Wabunge wa kanda ya ziwa hivi wapo?

Joined
Jul 12, 2024
Posts
13
Reaction score
18
Naomba kuuliza hivi hawa wambunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wapo??
Barabara ni mbovu sijawahi kuona toka mwaka 2021 mpaka sasa hakuna kipindi kina barabara mbovu kama miaka hii mitano aiseeeeeee. Yaaaani barabara ya lamadi kwenda bariadi inajengwa toka wakati wa mwenda zake mpaka leo 😭😭ni vumbi tupu, njoo daraja la Magu pale tuliona mkandarasi alikuwepo akaweka matuta tukajua sasa kumeiva ila maajabu ni zaidi ya mwaka sasa na elnino hiyo sijui wanasubiri tusombwe ndio waje watoe pole?? Nenda kaangalie barabara ya mwanza kwenda Bunda aiseeeeeee utasema kanda ya ziwa ni wenda wazimu!!!
Achana na barabara njoo kwenye train ya SGR inayosema kwani mmeshindwa kutuwekea lami kipande cha kutoka mjini kwenda nyegezi pale maaana vumbi la pale itakuwa ninyi wabunge mnapita mbinguni.
Sasa tuangalia michezo hivi wabunge wa kanda ya ziwa wana akili timamu kweli?? Katika maandalizi ya afcon ni kama kanda ya ziwa imetengwa vile au mnajifanya hamjui??
1. Mna ziwa kubwa Africa nzima ila hakuna kiwanja chochote kinacho host afcon ninyi ni wazima kweli??
2. Mna mbuga nzuri africa ya serengeti ila hakuna kiwanja cha kuhost afcon,
3. Mna ukanda mzuri wa madini mbalimbali ila mmeshindwa kujenga hoja kwa ajili ya afcon.

Naomba kuuliza hivi wabunge wa kanda ya ziwa nani aliyewaroga??
 
Wautaka ubunge milele
 
TUpo kulamba asalii kwanza mkuu tukimaliza tunakuja
 
Kanda ya ziwa hainaga mtetezi wa maana hata Nyerere mwenyewe hakujenga hata chuo kikuu.
Na mshukutu JPM angalau hata aliwajengea daraja la JPM Busisi.
Barabara mbovu sana miji haina barabara.
Unashangaa Mwanza jiji tokea 2002 hakuna barabara ya maana wala Uwanja wa ndege wa kimataifa.
 
Badili hilo jina angalau ujiite Mzee wa Bunamhala au Laganga bilili.

Ukikosa kabisa basi ujiite Gambosi.
 
Samia yuko bize kumkumbatia tapeli Chivayo
 
Naomba kuuliza hivi hawa wambunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wapo??
Barabara ni mbovu sijawahi kuona toka mwaka 2021 mpaka sasa hakuna kipindi kina barabara mbovu kama miaka hii mitano aiseeeeeee. Yaaaani barabara ya lamadi kwenda bariadi inajengwa toka wakati wa mwenda zake mpaka leo 😭😭ni vumbi tupu, njoo daraja la Magu pale tuliona mkandarasi alikuwepo akaweka matuta tukajua sasa kumeiva ila maajabu ni zaidi ya mwaka sasa na elnino hiyo sijui wanasubiri tusombwe ndio waje watoe pole?? Nenda kaangalie barabara ya mwanza kwenda Bunda aiseeeeeee utasema kanda ya ziwa ni wenda wazimu!!!
Achana na barabara njoo kwenye train ya SGR inayosema kwani mmeshindwa kutuwekea lami kipande cha kutoka mjini kwenda nyegezi pale maaana vumbi la pale itakuwa ninyi wabunge mnapita mbinguni.
Sasa tuangalia michezo hivi wabunge wa kanda ya ziwa wana akili timamu kweli?? Katika maandalizi ya afcon ni kama kanda ya ziwa imetengwa vile au mnajifanya hamjui??
1. Mna ziwa kubwa Africa nzima ila hakuna kiwanja chochote kinacho host afcon ninyi ni wazima kweli??
2. Mna mbuga nzuri africa ya serengeti ila hakuna kiwanja cha kuhost afcon,
3. Mna ukanda mzuri wa madini mbalimbali ila mmeshindwa kujenga hoja kwa ajili ya afcon.

Naomba kuuliza hivi wabunge wa kanda ya ziwa nani aliyewaroga??
Kuhusu Afcon nikujulishe kuna viegezo jiji kuteuliwa
Mosi kuwa na International Airport karibu
Pili kuwa na hotel za kutosha za nyota tatu na tano.
Kanda ya Ziwa mmekosa viegezo na kumbuka japo Chato kuna gofu la Airport hakuna mechi wala hotel hizo hapo.
 
Mwanza ina Hotel nyingi tu,mbona kipindi cha nyuma mechi nyingi za kimataifa zilichezwa Mwanza.
 
Back
Top Bottom