Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa...
Wanaukumbi.
HAYA mambo huwa hayaji kwa bahati mbaya au kwa ndoto!.. Au hayaji kwa kutumia AI 😄
WAKATI wanaharakati na wapinzani wanaikosoa hii nchi kuwa haifai kwa lolote na chochote na...
Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy.
Sifa Kuu:
-Uwezo mdogo na rushwa:
Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism)...
KIVULI CHA FIMBO HAKIMFICHI MTU II
Adeladius Makwega – MBAGALA
Kumbuka siku ile Mwanakwetu alipita mbele ya ile nyumba nyeupe ya CCM, pale Dodoma.
Alipita taratibu.
Macho yake yakatua kwenye jengo...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Soma...
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29.
Muyinga amesema...
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi...
Wale mnaonipigia simu kutoka niwapatie fulana hizo nawaeleza Kwamba zimemalizika
Tuliandaa fulana 2000 tu, na ni sare ya tukio maalum kama muujiza wa Lissu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mafanikio ya taifa hayawezi kupimwa kwa ukubwa wa miradi ya miundombinu pekee...
KAFULILA ATAJA MOTISHA AMBAZO MBIA ANAPEWA NCHINI TANZANIA
Dodoma – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Zacharia Kafulila, katika public lecture yake...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Anapendwa na Watanzania,anakubalika na watanzania,anaishi mioyoni Mwa Watanzania,ameiteka mioyo ya watanzania,amegusa Hisia za Watanzania.
Kila...
Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka.
Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa.
Aina ya Mauaji ni ileile
Kukatwa Shingo
Kutobolewa Macho.
Ikimaanisha...
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu
Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye...
Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa.
Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii...
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation...
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA
===
SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa...
Mahakama Kuu kupitia kwa Jaji Dunstan Ndunguru imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.